Yemi Alade yupo
Rome italy
akiendelea na ziara yake ya kimuziki ambapo akiwa nchini humo alifanya
shoo ya aina yake iliyopokewa na mashabiki kwa furaha na mashabiki ambao
walifurika kumshuhudia
.

Hitmaker huyo wa single ya
Jonny
mbali ya kutoa burudani ya aina yake akiwa stejini alitumia muda huo
kupiga selfie na mashabiki wake huku akiwataka wacheze pamoja.
Katika ziara yake Yemi Alade atatembelea nchi mbalimbali zikiwemo Ujerumani, Switzerland na Ufaransa.
No comments:
Post a Comment