Na swaxbz layiiiiiiiii
Kwenye
zile zilizoandikwa magazetini na kuchambuliwa kwenye Power Breakfast
@CloudsFM leo March 23, iko story ya watu watano kufariki kutokana na
mvua iliyonyesha Dar, makundi mbalimbali kuibuka uchaguzi wa Urais 2015
na stori ya albino kulindwa kwa teknolojia ya simu ya mkononi.
BAKWATA yakana kauli iliyotolewa hivi karibuni na Sheikh wa Mkoa wa Dar, Alhadi Mussa Salum,
Sakata la magari ya Tanzania yanayobeba watalii nchini Kenya lafikiwa
muafaka, ukosefu wa damu katika Hospitali mbalimbali nchini unaweza
kusababisha madhara makubwa, kesi inayowakabili vigogo wa MSD
inatarajiwa kusikilizwa leo na wanawake wa Tanzania na Nigeria vinara wa
kutumia mkorogo.
Kulikuwa na interview na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe ambaye
amezungumzia mazungumzo yalifoyanyika kati ya Serikali ya Tanzania na
Kenya kuhusu sekta ya utalii na sekta ya uchukuzi na kufikia maamuzi wa
magari yote ya utalii Tanzania kuruhusiwa kuingia Kenya kuchukua watalii
kama ilivyokuwa awali na usafiri wa ndege za Kenya kundelea na safari
zake 42.
Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCo Mhandisi Felchesmi Mramba
amesema mvua kubwa iliyonyesha imeleta madhara makubwa ikiwemo
kusababisha vifo na kutoa tahadhari kwa wananchi kutokana na mvua
zinazoendelea kunyesha nchini wasiguse wala kusogelea waya wowote
uliodondoka.
No comments:
Post a Comment