Saturday, 12 September 2015

JINSI SINGLE YA ROMA ILIVYOZUILIWA KUCHEZWA KTK VITUO VYA HABARI

LAYIII 
.
Kazi yangu ni kuhakikisha nakusogezea kila stori inayonifikia na hapa ninayo stori iliyochukua headlines Sept 9,2015 ya msanii wa Hip Hop kutokea 96.0 (Tanga) Roma Mkatoliki ambaye single yake mpya ilizuiliwa kwenye baadhi ya vituo vya radio nchini.
Msanii huyo alipokutana na ripota wa millardayo.com aliweza kuelezea sababu

PAMBANO LA KESHO LA FLOYD MAYWEATHER LINAUZA? PROMO HAKUNA? TIKETI JE?

layiii

Pambano la Floyd Mayweather na Manny Pacquiao May 02 2015 lilivunja rekodi nyingi ikiwemo ya mauzo ya Ticket, ticket ziliuzwa kati ya Dola 1,500 na Dola 10,000 lakini ndani ya saa mbili tu ziliuzika zote !!

advertise here