LAYIII
Chanzo na bbc wahili
BONYEZA PICHA KUJIUNGA NAMI YOUTUBE
Chanzo na bbc wahili
BONYEZA PICHA KUJIUNGA NAMI YOUTUBE
Wagombeaji wawili wa Urais wa chama cha Republican nchini Marekani wamegombana vikali na kurushiana matusi juu ya wake zao.
Seneta
wa Texas, Ted Cruz, amemlaumu mpinzani wake, mfanyabiashara Donald
Trump kwa kuzusha uvumi kuwa yeye alikuwa mzinifu na kumdanganya mkewe,
Heidi.