Saturday, 26 March 2016

JE UNAJUA KUHUSU KANISA JIPYA LA BEYONCE ( THE NATIONL CHURCH OF BEY )

LAYIII
Msanii Beyonce knowles wa marekani ameacha maswali mengi baada ya kuanzisha kanisa lake na kuliita "THE CHURCH OF BEY"
bonyeza picha kushuhudia na usiache kujiunga nami youtube  bofya picha yoyote
https://www.youtube.com/watch?v=ZtE2B6YNhBk
    means church of Beeyonce Ambapo yeye ndio Mungu wa kanisa hilo na maelfu ya watu wanamuabudu kwa jina la "mother  bey"

katika kanisa hilo kuna picha ya Beyonce akionekana na vazi la papa wa madhehebu  ya RC .
Amekuwa akiitwa mungu wa kike. Na dini yake inaitwa "Beyism"  ambapo pia wanatumia biblia yao inaitwa

 
beyble inazungumzia beyonce kama mwanamke mwenye uwezo wa ajabu kama Mungu na kuamua kumwita Goddess
Dini hiyo ya beysim in waumini maarufu kama kanye west mariah carry na wengine
Hizi ni baadhi ya picha zake bonyeza nenda youtube kaone na usiache kusubscribe nami youtube
 https://www.youtube.com/watch?v=ZtE2B6YNhBk


No comments:

Post a Comment

advertise here