Tuesday, 21 March 2017

USHINDI WA TUNDU LISSU LIFT YA SERIKALI


Serikali imekuwa lift ya ushindi wa Tundu Lissu TLS (Tanganyika Law Society). Ilipokuwa ikikazana kumkamata, ikawa inamtengeneza kuwa mgombea wa pekee. Wagombea wengine wakawa hawatajwi. Wakafunikwa kabisa. 
Kwa hali hiyo ulitarajia nini? Mabavu ni zero kama akili haishiriki vizuri kwenye vitendo.

Serikali kama walitaka kucheza michezo kumzuia Lissu walipaswa kutimia njia tofauti.

Njia ya kumkamata na kutoa vitisho vya kuifuta TLS, ilikuwa inampa promotion kubwa Lissu kwa mawakili wenzake na nchi kwa jumla.

Serikali ilitakiwa kufahamu kuwa TLS ni chama cha wasomi wenye kujitambua. Ukitumia njia ya

advertise here