Thursday, 16 June 2016

MPAKA MWANAMKE ANACHEPUKA UJUE NDANI KUNA SHIDA SI BURE

SUBSCRIBE HAPA KUONA VIDEO MPYA ZA VICHEKESHO
Katika Utafiti wangu imegundua kuna tatizo kubwa katika mahusiano aidha ya kimapenzi au ya ndoa.Uaminifu umekuwa tatizo kubwa miongoni mwa jamii ya kizazi hiki! Kutoridhika imekuwa sehemu ya maisha ya sasa si kwa mwanaume au mwanamke kuchepuka ndiyo habari ya mujini kwa sasa hadi wale walioaminika kuwa viongozi wa dini maana hakuna mwenye kinga ya kutotenda dhambi hivyo imekuwa kujitwalia kadri tupendavyo nani atakuwa kiini cha mabadiliko katika wimbi hili linaoelekea kupoteza wengi.

KAMANDA SIRRO: TUTAMFUNGULIA ZITTO KESI YA UCHOCHEZI

SUBSCRIBE HAPA
Kamanda wa polisi wa jiji la Dar Simon Sirro amesema sasa hivi wanaendelea na kukusanya ushahidi wa makosa ya kichochezi aliyoyafanya Zitto Kabwe na upelelezi utakapokamilika watampeleka mahakamani.
Amesema hawatawavumilia watu kufanya uchochezi kwasababu ya siasa kwa kuwa bila utulivu hakuna

advertise here