Monday, 6 July 2015

WALIOMTESA DROGBA HAWA HAPA

LAYIII
Gwiji wa zamani wa soka la kimataifa wa Ivory Coast na klabu ya Chelsea, Didier Drogba, ni mmoja wa washambuliaji bora zaidi waliowahi kutamba katika barani Afrika, Asia na Ulaya.

Drogba kawataja hawa mabeki kwamba ndio waliomsumbua zaidi Uwanjani..

Didier-Drogba-Wallpaper_0
Didier Drogba
Gwiji wa zamani wa soka la kimataifa wa Ivory Coast na klabu ya Chelsea,

BAADA YA KUKOSA HOUSE GIRL SIARA AMEAMUA HAYA

LAYIII
Msanii maarufu wa R&B Ciara hivi karibuni alifanya interview kuzungumzia maisha yake ya kuwa mama yakoje na anawezaje kuwa mama na mwanamuziki kwa wakati mmoja… Ciara alikuwa na mengi ya kuongea kuhusu life yake  ya sasa hivi.

Ciara amekosa Housegirl? Haya ndio maisha yake na mtoto wake.. (Pichaz)

ciara-facebook-ciara
Msanii maarufu wa R&B Ciara hivi karibuni alifanya interview kuzungumzia maisha yake ya kuwa mama yakoje na anawezaje kuwa mama na mwanamuziki kwa wakati mmoja… Ciara alikuwa na mengi ya kuongea kuhusu life yake  ya sasa hivi

Majibu ya Diamond Platnumz kuhusu beef, uchawi, kulipia collabo, Team za mitandaoni.. (Audio)

layiii
MONDIII
Diamond Platnumz alikuwa live kwenye XXL @CloudsFM, kuna vingi kaviongea Exclusive, nilipata nafasi kumsikiliza na hivi ni baadhi ya vitu alivyoviongelea leo June 6 2015.
Unadhani Diamond anaamini uchawi >>> “Japokuwa vitabu vya dini vinasema ‘ndele’ zipo lakini  haupaswi kuamini… Kuamini ni sawa na kumkiuka Mwenyezi MUNGU”>>>

NYIMBO ISHIRINI ZA DIAMOND KABLA HAJATOKA

LAYIII



Diamond kabla ya mafanikio
 Kampuni ya Coca-Cola Afrika ya Kati, Mashariki na Magharibi imezindua kampeni mahsusi ijulikanayo kama ‘Sababu Bilioni za Kuamini’ inayolenga kuwahamasisha vijana wa Kitanzania kujiamini pindi wanapopita katika changamoto mbalimbali zinazowakabili kimaisha kabla ya kutimiza ndoto zao. Kampeni hiyo ya miezi mitatu itaendeshwa nchi nzima.
Nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, ni miongoni mwa vijana wanaotolewa mfano katika dhana hii. Alitengeneza single zaidi ya 20 kabla ya kufanikiwa na hatimaye kufikia katika mafanikio makubwa aliyonayo sasa..

JINSI CHRISTIAN RONALDO ALIVOWAACHA WAANDISHI KWENYE MATAA

LAYIII
Mwanasoka bora wa dunia Cristiano Ronaldo ametoa kali  baada ya kuondoka katikati ya kipindi cha runinga wakati akihojiwa na Televisheni ya Sports News.
Kitendo cha mchezaji huyo kuondoka kulisababishwa na kuulizwa swali kuhusu mchezaji mwenzake beki Sergio Ramos. kama ataendelea kubaki Real Madrid au kujinga na Manchester United swali lililoonekana kumkera.

KATIKA MAGAZETI YA LEO CHEKI 6/7/2015

LAYIII

.
.
Ungana na mimi tena kwenye post hii ya Magazeti, post maalum ambayo huwepo hapaWWW.SWAXBZ.COM kila siku kwa ajili ya kuyasogeza karibu yako Magazeti mbalimbali ya Tanzania na habari zake kubwakubwa kwenye kurasa za mwanzo na mwisho.

BZMORNING TANZANIA NA MAGAZETI YA LEO 6/7/2015

LAYIII

PEPA 
NIPASHE

#MAGAZETINI JULY6…Mume kumnyonga mjamzito, wiki ngumu CCM na kompyuta yaibiwa kituo cha kupigakura


Zikiwa zimebakia siku sita kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumpata mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu, kura ya maoni iliyoendeshwa na Mpango wa Utafiti na Elimu ya Demokrasia (REDET) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, inamweka kileleni Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kuwa changuo la kwanza la wengi kwa kujipatia asilimia 27.0 ndani ya chama hicho.
Wakati Lowassa akiwafunika watia nia wenzake ndani ya CCM, Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa, anawafunika wenzake kwenye Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) akiwa changuo la wengi kwa asilimia 23.1.

CHEKI MAREKANI WALIVO SHEREKEA KOMBE LA DUNIA HAPA

LAYIII
Marekani imefanikiwa kuitandika timu ya Japan mabao 5-2 katika fainali ya michuano ya kombe la duniani na kufanikiwa kutawazwa mabingwa wapya.
Katika mchezo huo Marekani ilifanikiwa kutawala mchezo kwa muda wote kwani ndani ya dakika 15 tayari wailikua wameshafunga mabao 4 na kuwachanganya zaidi wapinzani wao.
cha
Marekani imefanikiwa kuitandika timu ya Japan mabao 5-2 katika fainali ya michuano ya kombe la duniani na kufanikiwa kutawazwa mabingwa wapya.

advertise here