Wednesday, 1 July 2015

Watanzania waliopewa tuzo na malkia wa Uingereza ndio hawa wamerudi Tanzania

layii

.
.
Stori ninayotaka kukusogezea sasa hivi ni hii kuhusu vijana wawili kutokea Tanzania (Given Edward & Angel Benedicto) ambao wiki iliyopita walikabidhiwa tuzo na malkia wa Uingereza kutokana na

Ratiba kamili ya michuano ya Kagame Cup 2015 niko nayo hapa…

LAYIII
kick
Michuano ya kimataifa kwa nchi za Afrika Mashariki na kati ya kombe la Kagame itaanza Jula1 18 kwenye uwanja wa Taifa, Dar es saam.

MAISHA CLUB MPYA YA DAR YAFIKIA HAPA

LAYIII
millardayo.com ilikusogezea pichaz pamoja story ya kuhamishwa kwa Maisha Club kutoka Masaki kusogezwa Kijitonyama Dar es Salaam.
Nimepita Kijitonyama kuangalia ujenzi umefikia wapi mpaka sasa hivi… hapa ninazo picha 11

Ujenzi wa Maisha Club mpya Dar es Salaam umefikia hapa (Pichaz)

Screen Shot 2015-07-01 at 2.13.35 PM

millardayo.com ilikusogezea pichaz pamoja story ya kuhamishwa kwa Maisha Club kutoka Masaki kusogezwa Kijitonyama Dar es Salaam.

AJARI YA BASI NA TRENI MOROGORO MAJERUHI NA WALIYO KUFA NIFATE HAPA MTU WANGU

LAYIII
Stori kubwa kutoka Morogoro leo July 01 2015 inahusu ajali ya basi aina ya Isuzu lililokuwa limepakia abiria ambalo limegongana na treni katikati ya Stesheni ya Kimamba na Kilosa.

Ajali ya Treni na basi la abiria Morogoro, kuna majeruhi na waliofariki.. #RIP

.
.
Stori kubwa kutoka Morogoro leo July 01 2015 inahusu ajali ya basi aina ya Isuzu lililokuwa limepakia abiria ambalo limegongana na treni katikati ya Stesheni ya Kimamba na Kilosa.

Liverpool yakamilisha usajili wa mchezaji wa sita leo hii.

LAYIII
Dirisha la usajili wa kipindi cha kiangazi limefunguliwa leo rasmi na klabu ya Liverpool imetangaza kukamilisha usajili wa mchezaji mwingine baada ya Firmino wiki iliyopita.
wiki iliyopita. 
 Liverpool wamemsaini Nathaniel Clyne kutoka Southampton kwa ada ya uhamisho ya £12.5m, na mchezaji huyo leo amesaini mkataba wa miaka 5.
“Nina furaha kutimiza ndoto yangu ya kuja hapa Anfield kuitumikia klabu kubwa kama hii,” Clyne aliuambia mtandao wa Liverpool.
“Mara tu baada ya Liverpool kuonyesha kunihitaji, Nilifurahia na nikapenda uhamisho huo ukamilike haraka.”
 
Clyne, ambaye alikuwa amebakisha mwaka mmoja katika mkataba wake na Southampton, sasa anakuwa mchezaji wa sita kusajiliwa na Liverpool.

NUSU NUSU YA JOMAKINI SASA IKO JUU KATIKA MTV BASE

LAYIII

GoodNews ni hapa ilipofikia #NusuNusu ya Joh Makini kwenye Chati ya MTV Base.. (Video)
 Rapper kutokea kundi la Weusi, Joh Makini anazidi kupanda chart baada ya video ya wimbo wake ‘Nusu Nusu‘ aliyomshirikisha G Nako kushika namba moja kwa sasa kwenye  ‘Official African Chart‘ ya Kituo cha Television cha MTV  Base.

eeeeeee
.
Rapper kutokea kundi la Weusi, Joh Makini anazidi kupanda chart baada ya video ya wimbo wake ‘Nusu Nusu‘ aliyomshirikisha G Nako kushika namba moja kwa sasa kwenye  ‘Official African Chart‘ ya Kituo cha Television cha MTV  Base.

MSAFARA WA LOWASSA ULIVO ZUILIWA MOROGORO

LAYIII
MSAFARA WA LOWASA WAZUIWA GAIRO MOROGORO... WANAKIJIJI WATAKA JAPO WAMSALIMIE 


Msafara wa Lowasa wazuiliwa huko Gairo leo wakiwa wanaelekea Dodoma kwa kile wanachokiita Mvuto wa kiongozi . Hivyo wananchi wapenda maendeleo walitaka japo kumsalimia tu..

WATU WANGU WA MIELEKA ROCK KAWEKA WAZI SABABU ZA KUUACHA MCHEZO HUO

LAYIII ON SPOT
Dwayne  Johnson maarufu kama The Rock ni mwigizaji, movie producer na mchezaji mieleka kutoka Marekani aliejitengenezea jina kubwa kwenye mieleka na kufanya apate shavu kubwa kwenye movie za action HollywoodMarekani.

The Rock ameweka wazi sababu za yeye kuacha mchezo wa mieleka…

tr
Dwayne  Johnson maarufu kama The Rock ni mwigizaji, movie producer na mchezaji mieleka kutoka Marekani aliejitengenezea jina kubwa kwenye mieleka na kufanya apate shavu kubwa kwenye movie za action HollywoodMarekani.

ICHEKI ILE GARI AMAIZING MTU WANGU

LAYIII
Katika magari yaliyo nifurahisha leo basi na hili moja wapo huna haja ya kuwa na boti

Ni pesa yako tu! utanunua hata hili gari linalotembea barabarani na juu ya maji baharini.

GARI LA MAJININi dunia yenye vitu vingi na ubunifu mwingi kwenye kila kona ya kitu unachokijua, yaani kuna watu kila siku wanaumiza vichwa kutengeneza pesa kwa njia ya kiubunifu zaidi ambapo hii ya magari yanayoweza kutembea juu ya maji ni mojawapo.

#MAGAZETINI JULY1..Maiti yatoa jasho na kutikisika, Bei ya Petrol haishikiki na kidato cha 5 wakosa nafasi.

LAYIII

HIGHMTANZANIA
Hali ya sintofahamu imeibuka katika eneo la Magomeni, Wilaya ya Bagamoyo baada ya mwili wa marehemu Hatujuani Shaaban kushindikana kuzikwa kutokana na ndugu zake kudai ulikuwa ukitokwa jasho, kutingisha miguu, kichwa na mikono wakati ukitayarishwa kwa maziko.
Kutokana na hali hiyo mwili huo ambao ulikuwa uzikwe jumapili uliachwa hadi jana baada ya daktari kuitwa na kuishauri familia, ndipo zoezi la mazishi likafanyika.

HEADLINE KATIKA MAGAZETI YA LEO 01/07/2015

LAYIII
.
.
Ungana na mimi tena kwenye post hii ya Magazeti, post maalum ambayo huwepo hapa WWW.SWAXBZ.COM kila siku kwa ajili ya kuyasogeza karibu yako Magazeti mbalimbali ya Tanzania na habari zake kubwakubwa kwenye kurasa za mwanzo na mwisho.

MJUE MCHEZAJI ALIYE SABABISHA WAANDISHI WA HABARI KUJAA YANGA

LAYIII
Baada ya Uongozi wa Klabu ya Kimondo inayoshiriki ligi daraja la kwanza kudai mshambuliaji GEOFREY MWASHIUYA ni mali yao, Yanga imemtambulisha rasmi mshambuliaji huyo baada ya kukamilisha usajili wake.

Mchezaji aliyetokea ligi daraja la kwanza na kufanya Yanga iwaite Waandishi wa habari

SportsBaada ya Uongozi wa Klabu ya Kimondo inayoshiriki ligi daraja la kwanza kudai mshambuliaji GEOFREY MWASHIUYA ni mali yao, Yanga imemtambulisha rasmi mshambuliaji huyo baada ya kukamilisha

advertise here