Wednesday, 1 July 2015

ICHEKI ILE GARI AMAIZING MTU WANGU

LAYIII
Katika magari yaliyo nifurahisha leo basi na hili moja wapo huna haja ya kuwa na boti

Ni pesa yako tu! utanunua hata hili gari linalotembea barabarani na juu ya maji baharini.

GARI LA MAJININi dunia yenye vitu vingi na ubunifu mwingi kwenye kila kona ya kitu unachokijua, yaani kuna watu kila siku wanaumiza vichwa kutengeneza pesa kwa njia ya kiubunifu zaidi ambapo hii ya magari yanayoweza kutembea juu ya maji ni mojawapo.

Watercar ni kampuni ya Marekani ambayo ilianzishwa mwaka 1999 ambapo mwaka 2013 kampuni hii ilitengeneza gari la kwanza la kibiashara.
GARI LA MAJINI 2
GARI LA MAJINI 3
GARI LA MAJINI 4
GARI LA MAJINI 5


GARI LA MAJINI 6

 



No comments:

Post a Comment

advertise here