Sunday, 27 March 2016

KUHUSIANA NA LILE KANISA LA AJABU NIMEKUSOGEZEA PICHA HAPA

LAYIII
Je ulikosa kuiona ile video ya kijana aliyefariki tangu mwaka 2013 kisha kuonekana mwaka huu basi bonyeza picha yoyote hapo chini

https://www.youtube.com/watch?v=mUlBC6Nj-ls
 The church originated in USA and spread very fast in EUROPE, ASIA and now its found in some of African countries such as Nigeria, Cameroon, South Africa, the people that pray in this church are very cool and they believe that they are praying to the real GOD

UFAHAMU UGONJWA WA PRESHA YA KUPANDA NA MATIBABU YAKE.. [HYPERTENSION]

LAYIII
Je ulipitwa na video ya mtoto aliyekuwa amekufa toka mwaka 2013 basi bonyeza picha hii hapa
Hypertension ni nini? Huu ni ugonjwa ambao hugunduliwa pale presha ya damu inapokua juu sana kupita kiwango chake cha kawaida.

Kawaida damu inasukumwa na moyo kwenda sehemu mbalimbali za mwili lakini nguvu inayotumika kusukuma damu hiyo  kutoka moyoni kwenda sehemu zote za mwili na ile ambayo inakuwepo kwenye mishipa ya damu wakati damu inapita ndio inaitwa presha ya damu. Hivyo binadamu yeyote lazima awe na

KIJANA ALIYE FARIKI AKUTWA HAI KATIKA NYUMBA YA MFANYA BIASHARA MKUBWA

LAYIII
bonyeza picha kuiona video ya maelezo na kijana aliyefariki toka mwaka 2013

 Kijana aliye fariki mwaka 2013 akutwa akiwa hai katika nyumbaya mfanyabiashara mkubwa.

WEMA SEPETU FILAMU YA DAY TO DAY YAINGIA MITINI

LAYIII
BONYEZA PICHA KUONA VIDEO YA NYANI ALIVYOKUWA AKIMBEMBELEZAA MMEWE
KUMBE HATA KWA WANYAMA
Wema Sepetu ni bingwa wa kutumia gharama kubwa kufanya filamu na kutengeneza kiu kubwa kwa mashabiki wake halafu then mradi unageuka kuwa kama album ya Detox ya Dr Dre, ambayo haijawahi kutoka hadi leo.

MSANII TEKNO MILES KUNOGESHA TAMASHA LA JOHNNIE WALKER “GROWN & SEXY THE GOLD FINALE”

LAYIII

Mkurugenzi wa Straight up Vibes Omary Abood (wa kwanza kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla iliyofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam ya kumtambulisha rasmi Msanii Tekno Miles (Katikati) ambaye anatarajiwa kuburudisha katika Tamasha la mwisho la “Grown and Sexy, the Gold finale” litakalofanyika katika ukumbi wa King Solomon uliopo Namanga karibu na Best Bite katika mkesha wa mwaka mpya.
Dj rasmi wa msanii Jay Z wa Marekani al maarufu kama “Young Guru” akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla iliyofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam ya kumtambulisha rasmi Msanii Tekno Miles (Katikati) ambaye anatarajiwa kuburudisha katika Tamasha la mwisho la “Grown and Sexy, the Gold finale” litakalofanyika katika ukumbi wa King Solomon uliopo Namanga karibu na Best Bite katika mkesha wa mwaka mpya. Dj huyo atasimamia vilivyo kazi yake katika shughuli nzima ya Tamasha

MAMBO AMBAYO WANAUME WANAKOSEA WAKATI WA KUMTONGOZA MWANAMKE

LAYIII
BONYEZA PICHA HAPA KUONA VIDEO KALI KISHA JISAJIRI YOUTUBE NA MIMI ILI KILA SIKU UPATE VIDEO MPYA ZA MATUKIO MBALI MBALI
 https://www.youtube.com/watch?v=ZtE2B6YNhBk

1.PAPARA
wanaume wengi tumekuwa na haraka sana tunapokuwa tukitaka kuaproach hali inayomfanya mwanamke akuwekee ugumu.mfano umekutana na dada mzuri mmesalimiana hapo hapo unamuomba namba yake.mjomba hata akikupa ujue utasumbuka sana kumpata coz atakufikiria sana juu ya uharaka

advertise here