Sunday 14 June 2015

MAAJABU YA DUNIA BITCOIN INAYO MFANYA MTU AWE BILIONEA

LAYIII
Pata undani wa coin inayomfanya mtu awe bilioneakwa muda mfupi. Nini hicho na ni wapi na namna gani chakufanya
ungana nami katika habari moto moto kila leo kukujuza nini kinatakiwa kufanya au kufikiwa kwa wakati na muda muhafaka
layiiii on spot



KWA MARA YA KWANZA TANZANIA YAPATA RAIS MWANAMKE JIONEE MWENYEWE HAPO CHINI..........

LAYIII ON SPOT
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti Magonjwa ya Binadamu Dk. Mwale Malecela  pichani kabla ya kuingia  katika chumba cha habari katika Redio ya Mwambao iliyopo Tanga eneo la Kange ndani..........................................................

DK. MALECELA ASAKA WADHAMINI KATIKA KUGOMBEA NAFASI YA URAIS‏

 
 Dk. Mwale Malecela akizungumza na wananchi kupitia kituo cha Mwambao Radio.

MAKALA YA SIASA SITTA AKATAA MIL 140 JE NI ZA NINI KIPI KIMEFUATA ,,,,,,,?KILICHO FUATA STORY NYINGINE

LAYIIIII

Magazeti

Ni kweli SITTA alikaata rushwa mil.140? Baba amchinja mwanaye wa mwaka 1 Dar, wimbo wa albino wamtoa chozi JK..#MAGAZETINI JUNE14

LEEE
MWANANCHI
Makada wa CCM waliotangaza nia au kuchukua fomu za kuomba kupitishwa na chama hicho kuwania urais, wameeleza jinsi rushwa, ufisadi na udhaifu katika ukusanyaji kodi huku wakijinadi kuwa wao ndiyo wataondoa uovu huo iwapo watapitishwa kushika nafasi hiyo ya juu kisiasa.
Lakini hakuna hata mmoja aliyeiponda Serikali kwa kushindwa kudhibiti rushwa, ambayo baadhi walishasema kuwa imekithiri hata kwenye chama hicho tawala, huku mmoja akisema kuwa iwapo CCM itampitisha mlarushwa, atajiondoa.
Kati ya waliotangaza nia na kuchukua fomu, makada 11 ni mawaziri wa Serikali ya Awamu ya Nne wakiwamo mawaziri waandamizi walioshika nafasi za juu na waliofanya kazi katika awamu zote nne.
Pia wamo makada waliokuwamo kwenye Baraza la Mawaziri la Serikali ya Awamu ya Nne, lakini wakaondoka kwa sababu tofauti, huku kundi jingine likihusisha watendaji wakuu wa zamani wa Idara ya Usalama wa Taifa.

KASHFA MPYAA YA BEYONCE ....... KUMBE HATA SUPER STAAAZ WA DUNIA WEZI

LAYIII

Beyonce kwenye kashfa ya kuiba nyimbo ya ‘Xo’ kutoka kwa underground.

beyyy
Stori za madai ya wasanii mbalimbali kudaiwa kuiba nyimbo za wasanii wengine bado zimeendelea kuchukua nafasi zaidi kwenye nchi mbalimbali duniani.
Mara nyingi wasanii wadogo ndio wamekuwa wakilalamika sana kuibiwa nyimbo zao kila wakati na malalamiko haya huenda moja kwa moja kwa mastaa wenye majina makubwa kwenye muziki.

JUX BADO NI GUMZO .........ALICHO KISEMA MKE WA MABESTE SIRI YAKO ONA MWENYEWE

NA LAYIII

Alichokisema Mke wa Mabeste kuhusu ushindi wa Jux kwenye KTMA…

MBSTUsiku wa KTMA ni usiku uliotupa majibu na kufanya tuwafahamu wakali kutoka Tanzania ambao kwa nafasi zao kwenye muziki walipigiwa kura na Wananchi na kupata TUZO zao.
Miongoni mwa watu waliopata tuzo ni pamoja na Jux,Jux alipata tuzo ya Wimbo bora wa Rnb baada ya ushindi huo Mke wa Mabeste alitoa ya moyoni kwa Jux.
Kwenye sentensi yake alianza kwa kuandika>>’@juma_jux @juma_juxtaposed to@juma_jux meeen I am so dissapointed wit yah! @mabeste_tanzania aliniacha ndani naumwa akaja studio kukesha na wewe three days kukuandikia SISIKII na Ukweli ni kwamba hukumpa mabeste 2million’

JUX KIMENUKA ........... NI BAADA YA TUZOZA KILI

LAYIII

KISHAWAKA TUZO ZA KILI ZAFICHUA HILI ...MABESTE AMLIPUA KWA KUMSHAMBULIA JUX NA KUTOBOA SIRI BAADA YA KUSHINDA TUZO 

 @juma_jux @juma_juxtaposed to @juma_jux meeen I am so dissapointed wit yah! @mabeste_tanzania aliniacha ndani naumwa akaja studio kukesha na wewe three days kukuandikia SISIKII na Ukweli ni kwamba hukumpa mabeste 2million alikuambia use me tuu kua umemlipa two million coz alitaka ajitangaze kibiashara akija MTU mwingine kutaka aandikiwe amlipe coz he needed money by that time as I was sick.... I was your no.1 fan ndio maana @mabeste_tanzania aliponiambia nijikaze aje studio nilukubali na apart from that I am @mabeste_tanzania Manager! Kwanza kabisa Leo ndo nimeona kua sisikii imeingia kwenye utunzi bora na Ukweli ni si wewe uliye andika hiyo ngoma na cover ya ngoma ilikua mabeste ndo mwandish lakini umeshindwa kumpa haki yake uwaambie kili hiyo ni haki ya mabeste....the bad thing ingine is SISIKII imechukua tuzo umewapa watu S/O umeshindwa kumpa mabeste??? Kama mmezoea mabeste mpole I am sorry Manager Niko serious na kazi na naendelea vizuri narudi mzigoni very soon!!! @juma_jux @juma_jux

 

 


 

advertise here