UTAJUAJE KAMA UNA UPUNGUFU WA MAJI MWILINI?
Umeshawahi kwenda hospitali kumlalamikia daktari kuwa mwili wako hauna
nguvu na unajisikia kuchokachoka sana na baada ya kukuchunguza,
akakwambia huna tatizo lolote isipokuwa una upungufu wa maji mwilini tu?