Sunday, 9 August 2015

KILICHOWAKUTA ARSENAL DHIDI YA WEST HAM HIKI HAPA

layiii
Ligi kuu ya Uingereza Baclays Premier imeendelea jumapili ya leo kwa mchezo uliowakutanisha mahasimu wa mji wa London – Arsenal dhidi ya West Ham United.
 
Mchezo huo uliomalizika hivi punde umemalizika kwa West Ham United kuwashangaza watu wengi kwa kuifunga Arsenal kwa magoli 2-0.

ZIJUE SABABU ZA MOURINHO KUMLAUMU DOCTOR WA CHELSE

LAYIII

Baada ya kutoka sare ya goli 2-2 dhidi ya Swansea City katika mechi ya kwanza ya ufunguzi wa Ligi Kuu Uingereza, kocha wa Chelsea Jose Mourinho baada ya matokeo hayo hakupeleka lawama zake kwa muamuzi Michael Oliver ambae alimuonyesha kadi nyekundu golikipa wa Chelsea Thibaut Courtois na kutoa penati kwa Swansea.
29187-o2ij8qMourinho lawama zake zote anapeleka kwa madaktari wa timu wakiongozwa na Eva Carneiro ambao waliingia uwanjani kumpatia matibabu Eden Hazard wakati wa dakika za lala salama

HUYU NDO MWAFRIKA PEKEE ALIYE WAHI KUTWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MIGUU DUNIANI

LAYIII
Ni kawaida kwa binadamu kufanya au kujifunza kitu zaidi ya kimoja lakini huwa ni watu wachache sana wanaoweza kuvimudu vyote kwa ufasaha, kwa rekodi tu wachezaji wote wanaotajwa kuwa bora duniani hawajawahi kuwa makocha wazuri licha ya kuweza kucheza mpira kwa ufasaha mfano kama Diego Maradona na hata Lionel Messi anatajwa hatokuja kuwa kocha mzuri kama akitaka kuja kuwa kocha.
George_Weah
Na wengine kama Pele na Zidane wao wameamua kabisa kutokuwa makocha, tukirudi Afrika hapa nakusogezea historia ya mwanasoka pekee kutoka Afrika aliewahi kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia (Ballon d’or) 1995 George Ousman Weah kutokea Liberia huyu jamaa amemud

LIPUMBA ajificha Burundi........JK,LOWASSA,MAGUFULI,MBOWE kukutana..#StoriKubwa AUGUST 9

LAYIII

yuuuu
MWANANCHI
Rais Jakaya Kikwete amesema sasa atazungumza lugha moja na wakwe zake baada ya kukamilika Barabara ya Ndundu-Somanga kwa kiwango cha lami.
Rais Kikwete alisema hayo juzi jioni kwenye sherehe za ufunguzi wa barabara hiyo iliyofanyika Kijiji cha Marendego Mpakani na kuhudhuriwa na wananchi wa mikoa ya Lindi, Pwani pamoja na viongozi mbalimbali wa chama na Serikali akiwamo Balozi wa Kuwait nchini, Jassem Ibrahim AL-

ILE COLLABLE ILIYOKUWA IKISUBILIWA KWA HAMU YA DIAMOND & ALI KIBA YATABILIWA KUVUNJA RECORD

LAYIII


MTOTO ALIYEVUNJA RECORD KWA KUIMBA RAGGER TONE HUKO AFRIKA YA KUSINI HUYU HAPA......... ONA VIPAJI VYA WATOTO CHIPUKIZI HAPA

LAYIII
Kitoto kidogo cha miaka minne kimewaacha hoi maelfu ya watu kiliposikilizwa kikiimba tone za raga tena kwa mbwembwe za ukweli

advertise here