Wednesday, 24 June 2015

KIJUE KISA CHA ALIKIBA KUTIMULIWA KATIKA NYUMBA ALIYOKUWA AKIISHA

LAYIII
LICHA ya mwenyewe kukanusha vikali lakini madai mazito yanasema kuwa, nyota wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ametimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa akiishi iliyopo Kunduchi-Beach jijini Dar baada ya kukosana na mwanamke anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake ambaye pia ndiye mmiliki wa mjengo huo.

SHINDANO LA MISS KILIMANJARO LAFUNGULIWA RASMI JIJINI DAR

LAYIII
SHINDANO la kumsaka mlimbwende atakayeuwakilisha Mkoa wa Kilimanjaro kwenye shughuli mbalimbali za Kijamii limezinduliwa mapema leo, ambalo litakuwa na jumla ya washiriki 20 watakaowania taji hilo Julai 24 mwaka huu ndani ya Ukumbi wa Kili Home Resort.

ASHINDANO YA MISS KILIMANJARO YAZINDULIWA DAR

kama hukujua basi ni kijana mwingine tena ccm katika ninyang`anyiro cha urais

layiii
 endelea kufatana na,i na nitaendeleakukupasha habari mbali mbali zinazo endelea kila iitwapo leo mtu wangu wa ukweli

KIJANA MWINGINE KUINGIA KINYANG'ANYIRO CHA URAIS

KUTANA NA VICHWA VYA HABARI VYA MAGAZETI YA LEO TAREHE 25/6/2025

LAYIII
Ungana na mimi tena kwenye post hii ya Magazeti, post maalum ambayo huwepo hapa WWW.SWAXBZ.COM  kila siku kwa ajili ya kuyasogeza karibu yako Magazeti mbalimbali ya Tanzania na habari zake kubwakubwa kwenye kurasa za mwanzo na mwisho.

.
.
Ungana na mimi tena kwenye post hii ya Magazeti, post maalum ambayo huwepo hapamillardayo.com kila siku kwa ajili ya kuyasogeza karibu yako Magazeti mbalimbali ya Tanzania na habari zake kubwakubwa kwenye kurasa za mwanzo na mwisho.

Ninazo tayari stori kutoka kwenye kurasa za Magazeti ya TZ leo JUNE 25, 2015 kuanzia Udaku, Hardnews na Michezo

ATLETICO MADRID WASAJILI MSHAMBULIAJI MPYA

LAYIII
Siku chache baada ya kushuhudia mshambuliaji wake raia wa Croatia Mario Mandzukic akihamia nchini Italia kwenye klabu ya Juventus , mabingwa wa Hispania kwa msimu wa mwaka 2013/2014 Atletico Madrid hii leo wamethibitisha kumsajili mshambuliaji raia wa Colombia Jackson Martinez toka Fc Porto ya nchini Ureno 

Atletico Madrid wasajili mshambuliaji mpya .

Jackson-Martinez

Siku chache baada ya kushuhudia mshambuliaji wake raia wa Croatia Mario Mandzukic akihamia nchini Italia kwenye klabu ya Juventus , mabingwa wa Hispania kwa msimu wa mwaka 2013/2014

MAGUMU KUTOKA REAL MADRID HAYA HAPA

LAYIII
Kufuatia tetesi nyingi ambazo zimezidi kuongezeka miongoni mwa vyombo vya habari vya nchini Hispania na England kuhusu mustakabali wa muda mrefu wa beki wa Hispania Sergio Ramos uongozi wa klabu yake umeendelea kushikilia msimamo wake wa kutokuwekwa katika hali ya utata na beki huyo .

Mambo Magumu kwa Real Madrid na Sergio Ramos.

sergio-ramos-real-madrid_1hn6m16ku1c7w14s5iqq6i08yo

Kufuatia tetesi nyingi ambazo zimezidi kuongezeka miongoni mwa vyombo vya habari vya nchini Hispania na England kuhusu mustakabali wa muda mrefu wa beki wa Hispania Sergio Ramos uongozi wa klabu yake umeendelea kushikilia msimamo wake wa kutokuwekwa katika hali ya utata na beki huyo .

YALOMKUTA JAMAA AKIWA KWENYE MISHEMISHE ZAKUTAKA KUIBA HAIELEZEKI

LAYIII
Nimekutana na hizi pichaz pale MICHUZI BLOG, inaonekana jamaa mmoja alikuwa kwenye pilika pilika za kutaka kuiba, hali ya hewa haikuwa nzuri baada ya jamaa huyo kukamatwa na Walinzi.

Balaa likamkuta akiwa kwenye mishemishe za kutaka kuiba.. Ninazo pichaz hapa

6
Nimekutana na hizi pichaz pale MICHUZI BLOG, inaonekana jamaa mmoja alikuwa kwenye pilika pilika za kutaka kuiba, hali ya hewa haikuwa nzuri baada ya jamaa huyo kukamatwa na Walinzi.
Hairuhusiwi kujichukulia Sheria mikononi kama ikitokea mtu amekamatwa kwa kosa lolote, lakini wakati mwingine watu wanaamua kuchukua maamuzi magumu kutokana na hasira.

MMAMA ALIYE JIFUNGULIA NJIANI NDO HABARI YA MJINI KWA SASA

LAYIII
Kesi za wanawake kushindwa kutambua muda wao wa kujifungua unapofika zimekuwa zikitokea mara kwa mara na hata wengine kushindwa kujitambua kama ni wajawazito hadi pale unapokaribia wakati wa kujifungua.

Stori ya mama aliyejifungua njiani bila kujua ipo kwenye headlines

born
Kesi za wanawake kushindwa kutambua muda wao wa kujifungua unapofika zimekuwa zikitokea mara kwa mara na hata wengine kushindwa kujitambua kama ni wajawazito hadi pale unapokaribia wakati wa kujifungua.

UMEPATA KUJUA KILA MTANZANIA ANATAKIWA ALIPE KIASI CHA 100/= KAMA HUJUI UNGANA NAMI HAPA

LAYIII
Kwenye headlines toka Dodoma labda hii ilikupita, Wabunge wamesikika mara nyingi wakilalamika kwamba Serikali itafanya maisha yawe magumu baada ya kutangazwa kwamba bei ya mafuta itabidi ipande ili kuchangia miradi ya usambazaji wa umeme TZ.

Kila mwananchi Tanzania anatakiwa achangie shilingi 100/=, unajua ni kwa ajili ya nini?

strategy (1)
Kwenye headlines toka Dodoma labda hii ilikupita, Wabunge wamesikika mara nyingi wakilalamika kwamba Serikali itafanya maisha yawe magumu baada ya kutangazwa kwamba bei ya mafuta itabidi ipande ili kuchangia miradi ya usambazaji wa umeme TZ.

MJUE NYOTA MPYA KUTOKA BRAZIL ALIYEPANDA BEI BAADA YA KUHAMIA LIVERPOOL

LAYIII
Klabu ya Liverpool imefuta ndoto za wapinzani wao Manchester United baada ya kufanikiwa kumsajili mshambuliaji kutoka Brazil Roberto Firmino aliyekuwa akikipiga katika klabu ya Hoffenheim kwa mkataba wa miaka mitano.

Nyota mpya wa Brazil aliyesajiliwa na Liverpool..aingia kwenye rekodi ya mchezaji ghali zaidi!!

braa
Klabu ya Liverpool imefuta ndoto za wapinzani wao Manchester United

REKODI ZA KOCHA WA SIMBA ZAISHTUA TANZANIA

LAYIII
KOCHA mpya wa Simba, Dylan Kerr, anatarajiwa kutua nchini wikiendi hii akiwa anaonekana kuwa kocha mwenye rekodi kadhaa za ajabu kwenye soka. Kocha huyo anatua nchini kuchukua mikoba ya Goran Kopunovic, ambaye aliachana na timu hiyo ya Msimbazi baada ya kushindwana kwenye masuala ya kimaslahi.

REKODI 5 ZA KUSHTUA ZA KOCHA MPYA SIMBA

KAMA HUKUJUA CCM WALISHA BARIKI UBUNGE WA WEMA SEPETU NIFATE TUENDE PAMOJA

LAYIII
Gladness Mallya
BARAKA! Siku chache baada ya mwanadada anayefanya vizuri kwenye filamu Bongo, Wema Sepetu ‘Madam’ kutangaza nia ya kugombea ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), chama hicho kimempa baraka mrembo 

Gladness Mallya
BARAKA! Siku chache baada ya mwanadada anayefanya vizuri kwenye filamu Bongo, Wema Sepetu ‘Madam’ kutangaza nia ya kugombea ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), chama hicho kimempa baraka mrembo huyo kwa uamuzi wake huo.
Akistorisha na gazeti hili, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye alisema kila

IDADI YA VIFO KUTOKANA NA ONGEZEKO LA JOTO NCHINI PAKISTANI

LAYIII
Zaidi ya watu 780 wamefariki huko Karachi huku 30 wakiripotiwa kufariki kutoka sehemu nyingine mkoani humo.
Taarifa kutoka katika hospitali kadhaa mkoani humo zimeripoti kuelemewa baada ya mochwari zake kujaa miili hivyo kushindwa kuhifadhi miili mingine.
Mamlaka husika zimelaumiwa kwa kushindwa kukabiliana na janga hilo lililoanza Jumamosi iliyopita.

WATU ZAIDI YA 800 WAPOTEZA MAISHA KWA JOTO KALI PAKISTAN

Mmoja wa majeruhi wa joto nchini Pakistan akipatiwa huduma ya kwanza.
WATU zaidi ya 800 wamefariki dunia mpaka sasa kutokana na hali ya joto kali kwenye Mkoa wa Sindh uliopo kusini mwa nchi ya Pakistan.

KATIKA HEADLINE NYINGINE NCHINI CHINA ISSUE YA MADAWA YAKULEVYA NDO HABARI YA MJINI

LAYIII
Jana niliipata record nyingine kubwa toka China, ishu ni wao na dawa za kulevya… Kwenye ripoti hiyo nikayajua mambo matatu; kwanza ni kwamba kuna ongezeko la watu 46,300 ambao wanatumia dawa za kulevya.

Headlines nyingine ni China na dawa za kulevya, hawana utani kwenye hii ishu !!

cHINA III 
Jana niliipata record nyingine kubwa toka China, ishu ni wao na dawa za kulevya… Kwenye ripoti hiyo nikayajua mambo matatu; kwanza ni kwamba kuna ongezeko la watu 46,300 ambao wanatumia dawa za kulevya.

KAMA HUKUJUA MADINI YANAYOPATIKANA KATIKA SARAFU YA SHILINGI MIATANO YAJUE HAPA

LAYIII
Ilianza kama ishu ya kawaida hivi lakini muda ulivyozidi kwenda ikazidi kuchukua headlines kwenye mitandao ya kijamii kwamba eti kuna watu wananunua sarafu za shilingi mia tano za Tanzania alafu wanatumia madini ya sarafu hiyo kutengeneza vito kama mikufu hivi !

Ni kweli sarafu ya shilingi mia tano ina madini? Majibu yako kwenye hii video

Meneja BoT
Ilianza kama ishu ya kawaida hivi lakini muda ulivyozidi kwenda ikazidi kuchukua headlines kwenye mitandao ya kijamii kwamba eti kuna watu wananunua sarafu za shilingi mia tano za Tanzania alafu wanatumia madini ya sarafu hiyo kutengeneza vito kama mikufu hivi !

BAMBA HEADLINE ZA MAGAZETI YOTE YA LEO 24/6/2015

LAYIII
Ungana na mimi tena kwenye post hii ya Magazeti, post maalum ambayo huwepo hapa www.swaxbz.com kila siku kwa ajili ya kuyasogeza karibu yako Magazeti mbalimbali ya Tanzania na habari zake kubwakubwa kwenye kurasa za mwanzo na mwisho.

Ninazo tayari stori kutoka kwenye kurasa za Magazeti ya TZ leo JUNE 24, 2015 kuanzia Udaku, Hardnews na Michezo

.
.
Ungana na mimi tena kwenye post hii ya Magazeti, post maalum ambayo huwepo hapamillardayo.com kila siku kwa ajili ya kuyasogeza karibu yako Magazeti mbalimbali ya Tanzania na habari zake kubwakubwa kwenye kurasa za mwanzo na mwisho.

Ishu ya manesi na mjamzito Simiyu, msiba wa Mbunge.. Bajeti ya TZ 2015/16 >> Zote ziko hapa (Audio)

LAYIII
Magazeti ya leo June 24 2015 yamekupita mtu wangu? Hapa nimekurekodia stori zote za magazetini zilizosikika leo redioni @PowerBreakfast hizi nimezirekodi na kukuwekea hapa.

606x340_302989
Magazeti ya leo June 24 2015 yamekupita mtu wangu? Hapa nimekurekodia stori zote za magazetini zilizosikika leo redioni @PowerBreakfast hizi nimezirekodi na kukuwekea hapa.

KUMI KUTOKA KWA WEMA SEPETU

LAYIII
Wema Abraham Sepetu ni mrembo mwenye headlines zake nyingi TZ kwa zaidi ya miaka 10… toka amekuwa Miss Tanzania, akaingia kwenye filamu na nyingine mpya kabisa ni safari yake kuingia kwenye headlines za siasa !!

Mengine 10 Exclusive kutoka kwa Wema Sepetu niliyoyapata leo June 24 2015…

IMG-20150624-WA0012
Wema Abraham Sepetu ni mrembo mwenye headlines zake nyingi TZ kwa zaidi ya miaka 10… toka amekuwa Miss Tanzania, akaingia kwenye filamu na nyingine mpya kabisa ni safari yake kuingia kwenye headlines za siasa !!

YALIYO JIRI KATIKA MAGAZETI YA LEO MAMA AJIFUNGULIA BAFUNI

LAYIII
MTANZANIA
Tume ya Taifa ya uchaguzi NEC, imesema haina mpango wa kurudia  uandikishaji wapigakura katika maeneo waliyopita kwani inaamini kazi hiyo imefanywa kwa ufanisi wa hali ya juu.
Pamoja na hali hiyo NEC imewaonya wanasiasa kutoingilia kazi yao kwa sababu wanaifanya kwa mujibu wa sharia za nchi, na hawapo kwa ajili ya kumwonea mtu bali kuandikisha na kusimamia haki za wapigakura.

#MAGAZATENI JUNE 24…Mama ajifungulia bafuni, Mawaziri 7 wasusia bajeti Z’bar na maandamano yazuka Arusha kupinga BVR

logo 
MTANZANIA
Tume ya Taifa ya uchaguzi NEC, imesema haina mpango wa kurudia  uandikishaji wapigakura katika maeneo waliyopita kwani inaamini kazi hiyo imefanywa kwa ufanisi wa hali ya juu.
Pamoja na hali hiyo NEC imewaonya wanasiasa kutoingilia kazi yao kwa sababu wanaifanya kwa mujibu wa sharia za nchi, na hawapo kwa ajili ya kumwonea mtu bali kuandikisha na kusimamia haki

advertise here