Wednesday, 24 June 2015

YALOMKUTA JAMAA AKIWA KWENYE MISHEMISHE ZAKUTAKA KUIBA HAIELEZEKI

LAYIII
Nimekutana na hizi pichaz pale MICHUZI BLOG, inaonekana jamaa mmoja alikuwa kwenye pilika pilika za kutaka kuiba, hali ya hewa haikuwa nzuri baada ya jamaa huyo kukamatwa na Walinzi.

Balaa likamkuta akiwa kwenye mishemishe za kutaka kuiba.. Ninazo pichaz hapa

6
Nimekutana na hizi pichaz pale MICHUZI BLOG, inaonekana jamaa mmoja alikuwa kwenye pilika pilika za kutaka kuiba, hali ya hewa haikuwa nzuri baada ya jamaa huyo kukamatwa na Walinzi.
Hairuhusiwi kujichukulia Sheria mikononi kama ikitokea mtu amekamatwa kwa kosa lolote, lakini wakati mwingine watu wanaamua kuchukua maamuzi magumu kutokana na hasira.

1
2
3
4
5
7
8
9

No comments:

Post a Comment

advertise here