LAYIII
Kwenye headlines toka Dodoma labda hii ilikupita, Wabunge wamesikika mara nyingi wakilalamika kwamba Serikali itafanya maisha yawe magumu baada ya kutangazwa kwamba bei ya mafuta itabidi ipande ili kuchangia miradi ya usambazaji wa umeme TZ.
Kwenye headlines toka Dodoma labda hii ilikupita, Wabunge wamesikika mara nyingi wakilalamika kwamba Serikali itafanya maisha yawe magumu baada ya kutangazwa kwamba bei ya mafuta itabidi ipande ili kuchangia miradi ya usambazaji wa umeme TZ.
Kila mwananchi Tanzania anatakiwa achangie shilingi 100/=, unajua ni kwa ajili ya nini?
Kwenye headlines toka Dodoma labda hii
ilikupita, Wabunge wamesikika mara nyingi wakilalamika kwamba Serikali
itafanya maisha yawe magumu baada ya kutangazwa kwamba bei ya mafuta
itabidi ipande ili kuchangia miradi ya usambazaji wa umeme TZ.
“Uchumi
wako utategemea mchango wako unaoutoa katika Taifa hili… Tukiona
wafadhili wanatusaidia ni kwa sababu wanachukua Kodi ya mwananchi wa
kule wanakuja kutusaidia. Kama tuna uchungu wa nchi hii ni lazima
mwananchi achangie shilingi mia moja yake ili tumpelekee umeme kule
aliko“>>> Saada Mkuya.
“Hatuwezi
kupitisha bakuli kwa wafadhili tukaomba fedha ili tupeleke umeme
vijijini.. Kama tunataka maendeleo ya kiuchumi ya Mwananchi hii tozo
tumeipendekeza tunaomba Wabunge mtusapoti kwenye hili“
“Ni lazima
mwananchi achangie maendeleo ya nchi yake.. Tunaomba shilingi mia kwa
kila ya mafuta ya taa, petroli na diesel kwa ajili ya kupeleka umeme
vijijini… Hesabu zetu zimeonesha katika tozo hii tutapata shilingi
Bilioni 276.. Tukitegemea fedha za wafadhili katika kutekeleza miradi ya
maji inawezekana tusifike tunakotaka kufika”>>> Saada Mkuya.
Stori hiyo iko kwenye hii sauti pia mtu wangu.
No comments:
Post a Comment