LAYIII
Jana niliipata record nyingine kubwa toka China, ishu ni wao na dawa za kulevya… Kwenye ripoti hiyo nikayajua mambo matatu; kwanza ni kwamba kuna ongezeko la watu 46,300 ambao wanatumia dawa za kulevya.

Headlines nyingine ni China na dawa za kulevya, hawana utani kwenye hii ishu !!
Jana
niliipata record nyingine kubwa toka China, ishu ni wao na dawa za
kulevya… Kwenye ripoti hiyo nikayajua mambo matatu; kwanza ni kwamba
kuna ongezeko la watu 46,300 ambao wanatumia dawa za kulevya.
Nyingine ni kwamba kumbe idadi ya watu
wanaotumia dawa za kulevya imefikia watu Milioni 1.4 ndani ya nchi hiyo,
alafu kumbe dawa wanazotumia ni kemikali na vidonge ambavyo
vimatengenezwa kwa matumizi mengine tu, wao wanatumia kama dawa za
kulevya !!
Leo imenifikia nyingine, Jimbo
la Guizhou China jana hiyohiyo wameteketeza dawa za kulevya ambazo zina
uzito wa kilo 1,200.. Hiyo imefanyika siku tatu baada ya Maazimisho ya
siku ya Kupambana na dawa za kulevya China.
China wako serious kabisa kwenye mapambano na dawa za kulevya, ukikamatwa nazo ni ishu.. na wakizikamata hawaziachii pia !
No comments:
Post a Comment