LAYIII
Wema Abraham Sepetu ni mrembo mwenye headlines zake nyingi TZ kwa zaidi ya miaka 10… toka amekuwa Miss Tanzania, akaingia kwenye filamu na nyingine mpya kabisa ni safari yake kuingia kwenye headlines za siasa !!
Wema Abraham Sepetu ni mrembo mwenye headlines zake nyingi TZ kwa zaidi ya miaka 10… toka amekuwa Miss Tanzania, akaingia kwenye filamu na nyingine mpya kabisa ni safari yake kuingia kwenye headlines za siasa !!
Mengine 10 Exclusive kutoka kwa Wema Sepetu niliyoyapata leo June 24 2015…
Wema Abraham Sepetu ni
mrembo mwenye headlines zake nyingi TZ kwa zaidi ya miaka 10… toka
amekuwa Miss Tanzania, akaingia kwenye filamu na nyingine mpya kabisa ni
safari yake kuingia kwenye headlines za siasa !!
Alikuwa LIVE kwenye show ya Clouds360 leo June 24 2015, mengine mapya kumi ambayo nimeyapata toka kwake ni haya hapa mtu wangu.
Unaijua ratiba yake ya kila siku; “Huwa
naamka saa mbili au saa tatu inategemea na nini natakiwa kufanya siku
hiyo… nafanya kazi za nyumbani kama mwanamke mwingine, napenda sana
kupika. Nikiwa niko nyumbani sina kazi yoyote ninakaa na kupika.. kitu
kinachochukua sana muda wangu ni shooting ya reality show na movie,
sipendi sana kutokatoka”>>> Wema Sepetu.
Hii ndio sababu iliyomsukuma akaona agombee Ubunge; “Nimezaliwa
kwenye siasa, Marehemu baba yangu alikuwa ni mwanasiasa, mama yangu ni
mwanasiasa mpaka sasa hivi ni Mwenyekiti wa Serikali za mitaa. Marehemu
baba yangu aliwahi kuniambia kwamba anatamani niingie kwenye siasa,
mwaka 2010 nilikuwa siko tayari.. nimejisikia vibaya baba yangu
amefariki wakati sijaonesha kwamba ninaweza kufanya, nina uhakika kule
aliko anajisikia fahari”>>>
Kwanini kagombea Singida?; “Mama
yangu ametoka Singida, nimeona hiyo ndio sehemu nzuri ya kwenda
kugombea na huu ndio muda sahihi… nadhani ninaweza kujitolea kwa jamii
yangu kwa sababu Singida ni nyumbani“>>> Wema Sepetu.
Akipata Ubunge nafasi ya kwanza ni yeye na wanawake; “Kipaumbele change itakuwa ni wanawake, kwa sauti yangu na ushawishi wangu ninajua kwamba nitaweza”
Vipi akiangalia anaona upepo umekaa vizuri? “Upepo
uko vizuri… Nilikuwa Singida wiki iliyopita na ninarudi wiki ijayo..
nitakuwa nafanya ziara ili wapate kuniona. Singida mimi ni maarufu sana
kwa sababu ya mama yangu anatokea kule, kwa hiyo wanahitaji kumuona
mtoto wao… Huwezi kujiwekea asilimia 100 kwamba utashinda lakini
unatakiwa kuweka 75% kwamba utashinda… nafarijika kwa jinsi
wanavyonipokea. Wasanii tuna nafasi nzuri kwa sababu tunafahamika” >>> Wema Sepetu.
Vipi kuhusu ile clip ya sauti ambayo imezagaa mitandaoni? “Nilivyoisikia kwa mara ya kwanza nilikuwa na mama yangu, nilijisikia vibaya sana. Ile sauti sio yangu kabisa”
No comments:
Post a Comment