Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumanne Septemba 8,2015 tayari
nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa,
headlines baada
Mgombea ubunge wa Jimbo la Kisarawe kupitia Cuf, Rashid Mwinshehe
‘Kingwendu’ juzi alikuwa kivutio wakati akitambulishwa na mgombea mwenza
wa urais wa Jamhuri, Juma Duni Haji.