LAYIII
Nasibu Abdul ‘Diamond’ na mpenzi wake, Zarinah Hassan ‘Zari’
Stori: Musa mateja, Ijumaa
Dar es Salaam
Mpenzi wa Mwanamuziki Nasibu Abdul
‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari’ au ukipenda muite mama Tiffah, amekwaa
skendo ya kutumia makalio feki kila anapokuwa kwenye mtoko.