Tuesday, 2 February 2016

NYOMI KUUNGANISHWA NA FREE MASON JIJINI DAR-ES-SALAAM

LAYIII
DAR ES SALAAM: Ama kweli Bongo lazima utumie ubongo! Wakati watu wakisaka utajiri kwa njia ya hata ushirikina na ile ya kuamini unapatikana Taasisi ya Freemason, nyuma ya dhana hiyo kuna kundi kubwa la waganga wa kienyeji ‘sangoma’ ambao wanajifanya Freemason wakidai kutoa utajiri huku wakiishia kutapeli watu.
2 (2) (1) Kiongozi Mkuu wa Freemason Ukanda wa Afrika Mashariki, Sir Andy Chande.
Stori: Chande Abdallah na Gabriel Ng’osha, WIKIENDA
DAR ES SALAAM: Ama kweli Bongo lazima utumie ubongo! Wakati watu wakisaka utajiri kwa njia ya hata ushirikina na ile ya kuamini unapatikana Taasisi ya Freemason, nyuma ya dhana hiyo kuna kundi kubwa la waganga wa kienyeji ‘sangoma’ ambao wanajifanya Freemason wakidai kutoa utajiri huku wakiishia kutapeli watu.

JE ILE VIDEO YA MBWANA SAMATTA ALIVYO TUA KULE KRC Genk ULIIKOSAA? ..... POA NIMEKUWEKEA HAPA

LAYIII
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania aliyekuwa anaichezea klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta January 29 taarifa za yeye kujiunga na klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji zilianza kuenea, na baadae kuthibitika baada ya picha za utambulisho wa staa huyo kuanza kuenea mitandaoni.

ILE MELI KUBWA YA VITABU DUNIANI IMEWASILI DAR-ES-SALAAM

LAYIII
Kama wewe ni mpenzi wa kusoma vitabu, basi Good news ikufikie kuwa tayari meli ya Logos Hope ya Ujerumani ambayo huzunguka nchi mbalimbali Duniani kusambaza vitabu vya aina tofauti imeshatua Dar kuanzia Jan 26 na itaondoka Febr 17. Kutana na muonekano wote nje ndani kwenye hii video hapa chini.

advertise here