LAYIII
Kama wewe ni mpenzi wa kusoma vitabu, basi Good news ikufikie kuwa
tayari meli ya Logos Hope ya Ujerumani ambayo huzunguka nchi mbalimbali
Duniani kusambaza vitabu vya aina tofauti imeshatua Dar kuanzia Jan 26
na itaondoka Febr 17. Kutana na muonekano wote nje ndani kwenye hii
video hapa chini.
No comments:
Post a Comment