Monday, 14 September 2015

BAADA YA KUSHINDA PAMBANO LA 49, FLOYD MAYWEATHER ANAACHANA NA MCHEZO WA NGUMI??

LAYIII
Bondia Floyd Mayweather ni jamaa mwenye rekodi nzuri ambayo ameijenga kwa kipindi chote cha miaka yote 19 aliyoitumia kwenye mchezo wa ngumi..Usiku wa kuamkia leo September 13 2015

advertise here