LIKE PAGE YETTU HAPA
STORI: Imelda Mtema, Wikienda
STAA mwenye nyota ya kipekee Bongo, Wema Sepetu amewafungukia wanaomsema
vibaya kuwa siku hizi kafulia mpaka anatembelea usafiri aina ya Bajaj
na kudai kuwa hayo ni maisha yake binafsi ambayo hayamhusu mtu yeyote.
Akizungumza na gazeti hili juzikati,
Wema alisema kuwa anashangazwa sana na watu ambao wanafuatilia maisha
yake kila kona kwa kuwa yeye ni binadamu kama walivyo wengine