Monday 30 May 2016

LULU DIVA AMGEUKIA BELLE 9 / NAY KUCHEPUKA

LIKE PAGE YETU HAPA
lulu la diva (6)Lulu Diva

SIYO siri tena! Baada ya mkali wa Muziki wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kuchepuka kwa msichana wa Kihabeshi mwenye asili ya Ethiopia, aliyekuwa mpenzi wake Lulu Abass ‘Lulu Diva’ naye ameamua kugeukia kwa staa wa muziki, Abedinego
Damian ‘Belle 9’.
BONYEZA PICHA HII KUSUBSCRIBE NASI ILI USIPITWE NA VIDEO YOYOTE INAYOTUFIKIA MTU WANGU
belle91
Belle 9
Akizungumza na Over Ze Weekend Lulu ambaye ni muuza nyago kwenye video za Kibongo alidai kuwa, Nay hajatulia na badala yake anahitaji kuwa na mtu asiye na skendo za kutembea na wanawake ovyo na Belle 9 ndiye tulizo lake.
“Ni ukweli Nay nilikuwa naye kwenye uhusiano nikifahamu alishawahi kuwa na msururu wa wanawake lakini siyo siri yamenishinda na sasa nahitaji kujiweka kando. Sasa hivi feelings zangu zote zipo kwa Belle na analijua hilo,” alisema Lulu.
ULIKOSA KUMSKIA GIGY MANEY KUHUSU WANAOMSEMA KWAMBA HAVAI CHUPI ONA VIDEO HII

No comments:

Post a Comment

advertise here