Sunday 19 March 2017

HII HAPA TAARIFA YA MKURUGENZI WA CLOUDS MEDIA KUHUSU MAKONDA KUVAMIA CLOUDS SHILAWADU

Kufuatia kusambaa kwa video mitandaoni ikiaminika ni mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda akiingia Clouds Media akiwa na askari, Uongozi wa Clouds Media Group umetoa taarifa rasmi leo March 19 2017.

Taarifa imesema…>>>’Kumekuwa na habari mbalimbali kuhusu Clouds Media Group na viongozi mbalimbali akiwemo Askofu Josephat Gwajima na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda. Kiini

NAPE NNAUYE KUTINGA CLOUDSFM NI KUHUSIANA NA KILICHOTOKEA DHIDI YA KINACHOSEMWA UVAMIZI WA OFISI HIYO


Waziri Nape: Nakwenda Clouds Media kuona kilichotokea, Ni kuhusu Ishu ya RC Makonda
Kufuatia kusambaa kwa video mitandaoni ikiaminika ni mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda akiingia Clouds Media akiwa na askari, Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo, Nape Nnauye kupitia account yake ya twitter ameyaandika haya……

advertise here