Sunday, 27 September 2015

Magazeti 20 ya Tanzania leo September 28 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews!

layiii

.
.
September 28 2015 ninazo tayari stori kubwakubwa kwenye kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania >>> Udaku, Hardnews na Michezo.

DR CHENI AFUNGUKA ISHU YA MADAI ETI KUWA YEYE KUTAKA KUMUOA LULU!!

layiii

Tangu wakati ule msanii maarufu wa filamu, Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’ aamue kupambana kumsaidia Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwenye kesi ya mauaji iliyokuwa inamkabali, yaliibuka madai kuwa wawili hao ni wapenzi lakini leo limeibuka la ndoa, Ijumaa lina kila kitu.

HAWAKUJALI MANENO NA MINONG`ONO NDIYO MAANA MPAKA LEO UHUSIANO WAO UNADUMU NANI HAOO...............

LAYIII

Watu wengi huamini watu wengi maarufu hawawezi kukaa muda mrefu katika uhusiano wao wa kimapenzi kutokana na umaarufu walionao na kuchangia mahusiano yao kuvunjika.
Pamoja na wengi kushindwa kuvumiliana na kujikuta wakiachana lakini wapo hawa mastaa ambao mpaka sasa bado wameendelea kubaki ndani ya ndoa zao kitu ambacho wengi hawakukitarajia

BAADA YA KUPOTEZA MECHI NNE, KUNA DALILI YA JKT RUVU KUFANYA MAAMUZI HAYA MAGUMU

layiii
Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea September 27 kwa mechi mbili kupigwa , huu ukiwa ni muendelezo wa mechi za round ya nne kwa timu za Ligi Kuu. Msimu wa Ligi 2015/2016 kila timu inaonekana kujiandaa na haitaki kupoteza mchezo wowote wa Ligi Kuu licha ya kuwa hali ni tofauti kwa klabu ya JKT Ruvu.

NEW KUTOKA BONGOHOLLYWOOD BLOG

LAYIII
Wakati mkiwa tayari kupata habari kwa njia ya simu ukiwa na laini ya tigo na millardayo mtu wako wa nguvu swaxbz amekusogezea bongohollywood.blogspot.com ambayo itakupa ratiba mbalimbali za show za wasanii headline ya siku pamoja na ngoma mpya kabisa ungana na bongohollywood kudownload ngoma mpya kila siku na uwe mmoja wa watu wa kisasa zaidi

MAGUFULI AIGEUZIA KIBAO TUME YA TAFITI ILIYOMPA USHINDI WA URAIS

LAYIII

By Peter Elias, Mwananchi
Kahama. Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli amesema waliofanya utafiti wamempunja asilimia kwani ana uhakika wa kushinda kwa asilimia 95 na si 65 kama zilivyotajwa kwa kuwa wananchi wanampenda, naye yuko tayari kufanya kazi ili kuwaletea maendeleo.

WAISLAMU WATOA TAMKO DHIDI YA LOWASSA NA GWAJIMA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015

LAYIII

  
Picha na Maktaba
TAMKO LA TAASISI YA KIISLAMU YA IMAM BUKHARY JUU KAULI ZA NDUGU EDWARD LOWASSA NA ASKOFU GWAJIMA WA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA

NINAZO PICHA ZA KILIFEST HAPA MTU WANGU

LAYIII
Ruby.
Ni Sept 26, 2015 ambapo mashabiki wa muziki wa Bongo Fleva walishuhudia Burudani ya nguvu kutoka kwa wasanii mbalimbali akiwemo, Ruby, Fid Q, Aika na Nahreel, Damian Soul, Barnaba na wengineo,Show hiyo iliyopewa jina la Kill Fest ilifanyika katika viwanja vya Leaders Club Dar es

advertise here