LAYIII ON SPOT
Diamond Platnumz ameendelea kufungua milango mingine ya collabo na mastaa wengine Africa.
Tumehesabu siku siku chache zimezopita toka ilipoachiwa brand new collabo ya Love Boat ambayo Diamond kashirikishwa na msanii wa Nigeria, Kcee.
Diamond Platnumz kwenye kollabo nyingine na msanii Donald kutoka South Africa!!
Diamond Platnumz ameendelea kufungua milango mingine ya collabo na mastaa wengine Africa.
Tumehesabu siku siku chache zimezopita toka ilipoachiwa brand new collabo ya Love Boat ambayo Diamond kashirikishwa na msanii wa Nigeria, Kcee.
Kasi ya Diamond haijaishia hapo kwani sasa hivi ameingia tena studio South Africa na msanii Donald kutengeneza ngoma nyingine kupitia Universal Music Studios