Sunday, 5 March 2017

TRUMP ATAKA OBAMA ACHUNGUZWE KWA KUTUMIA MAMLAKA YA URAIS VIBAYA

BONYEZA PICHA HAPA KUJIUNGA NASI SOUNDCLOUDS

Rais wa Marekani Donald Trump ametaka bunge la Congress kuchunguza ikiwa Barack Obama alitumia vibaya mamlaka yake wakati wa kampeni ya uchaguzi siku moja baada ya kudai kuwa Obama alikuwa akidukua simu zake.

Msemaji wa Trump alisema kwa uchunguzi kuhusu kuingia kwa Urusi kuingilia uchaguzi wa Marekani utasaidia uchunguzi huo.

Trump alitoa madai hayo kwenye mtandao wa tittwer lakini hakutoa ushahidi wowote.

Aliyekuwa mkuu wa ujasusi nchini Marekani James Clapper, wakati wa kampeni alikana

SERIKALI YATEUWA WAZIRI WA MASUALA YA NGONO


BONYEZA PICHA KUONA VIDEO HAPA MTU WANGU

Bunge la Uhispania

Katika juhudi za kuongeza idadi ya watu inayoendelea kupungua, nchini Uhispania sasa serikali imeamua kumteua waziri wa masuala ya ngono.

Waziri mkuu wa nchi hiyo Mariano Rajoy amethibitisha uteuzi wa Edelmira Barreira kuwa afisa mkuu wa masuala ya ngono.

Hatua ya kubuni wizara nzima ya maswala ya ngono na mahaba huko Uhispania imetokana na hofu waliyo nayo wanasiasa.

Wakati kwengineko duniani watu wana hofu kwamba idadi ya watu nchini mwao inaongezeka kushinda rasilmali zilizopo , huko Spain hofu ni kwamba idadi ya

WEMA SEPETU AMTEMBELEA MBUNGE GODBLESS LEMA


Bonyeza picha hapa kujiunga nasi sound clouds
Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu ambaye hivi sasa amehamia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ametimiza hadi yake kwenda kuonana na Mbunge wa Arusha mjini Mhe. Godbless Lema ambaye amepata dhamana siku ya Ijumaa na kutoka gerezani.

advertise here