LIKE PAGE YETU HAPA
Kanisa la urefu wa mita 16 lililojengwa kwa kutumia vigae vya glasi
linalofanana na viatu vyenye visigino virefu vinavyopendwa sana na
wanawake limejengwa huko Taiwan kwa lengo la kuwavutia wanawake zaidi.
Bonyeza picha kuiona video usiache kusubscribe nami youtube Likiwa limejengwa kwa kutumia vigae vya glasi takriban 320,kanisa
hilo la rangi ya buluu lina upana wa mita 10 na limegharimu takriban
dola 686,000.
Picha iliopigwa juu ya kanisa hilo pia imeonyesha ukubwa wa kanisa hilo pamoja na uzuri wa eneo lililojengwa.
DAR ES SALAAM: Dunia imekwisha! Ndivyo
unavyoweza kusema kufuatia mastaa wa kike Bongo ambao wamekuwa vinara wa
kuweka picha zao chafu mitandaoni, kuweka wazi viwango vyao vya malipo
endapo mtu atahitaji picha zao za utupu (X).
Miongoni mwa wasanii hao ni muuza nyago maarufu Bongo, Gift Stanford
‘Gigy Money’, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’, Asha Salum ‘Kidoa’ na Isabela
Mpanda ‘Bella’ ambao kila mmoja amekiri kuwa yupo tayari kupiga dili
hilo ili aweze kujiingizia ‘mkwanja’ mnono na kudai kwa sababu wao
hawatoshiriki ni picha tu hivyo hakuna ubaya.
GIGY
"Hee, ninavyoijua pesa jina langu lenyewe linajieleza, sasa nawezaje
kukataa dili la hela ikiwa sidhuriki chochote maana kama ni picha zangu
kila kukicha natupia mtandaoni, mtu si anaweza kuchukua tu, lakini mpaka
kaniomba kaniheshimu itabidi anilipe kama shilingi milioni 50.”
DIVA
"Ni kweli napiga picha zisizo na maadili kwa nchi yetu ambazo zinaweza
kumshawishi mtu kunipa dili la aina hiyo japo kwa kucheza sipo tayari,
ila picha akinipa shilingi milioni 200 nakubali anipige hizo picha.”KIDOA
Kwa kuwa hiyo pesa nitakuwa sijaitolea jasho siwezi kuiacha, nikilipwa shilingi milioni 500 napiga hilo dili kwa moyo mkunjufu
ISABELA
“Kipindi hiki pesa ilivyokuwa ngumu naanzaje kukataa, kwani
ninavyoweka picha zangu huko mtandaoni kuna mtu ananilipa na mbona
nasemwa sana, bora nikasemwa nikiwa nimefaidika tena kupitia picha yangu
tu tatizo liko wapi, nikipewa shilingi milioni 100 nakubali.”
NENO LA MHARIRI:
Ni vyema wasanii hawa wakazingatia maadili ya Kitanzania kwa kuepuka
kupiga picha za utupu kwa namna yoyote. Watafute fedha kwa njia halali
kutokana na kazi zao. Waache kuiga mastaa wa nje kama vile Rihanna, Kim
Kardashian, Amber Rose na wengineo ambao wamekuwa wakilipwa pesa ndefu
kwa kupiga picha hizo ambazo zimekuwa zikitumika kwenye majarida na
mitandao mbalimbali
Mchezaji kandanda bora barani Afrika
wa mwaka huu Pierre-Emerick Aubameyang ametawazwa kuwa mshindi wa tuzo
la mwaka huu la mchezaji bora katika ligi kuu ya Ujerumani Bundesliga
Aubameyang
ambaye ni raia wa Gabon na mshambulizi wa Borussia Dortmund alimpiku
mshambulizi wa Bayern Munich Robert Lewandowski kwa asilimia 0.2%.
Tuzo hilo hutolewa na shirikisho la wachezaji nchini humo VDV.
''Ni furaha kubwa kutambuliwa na wachezaji wenzangu '' alisema Aubameyang