Monday, 5 December 2016

MADAKTARI KENYA WAANZA MGOGO KITAIFA

Taarifa zilizoripotiwa na BBC leo December 5 2016 kuhusiana na nchi ya Kenya ni kuwa madaktari  na wauguzi wa nchi hiyo wameanza mgomo wa kitaifa ikiwa kama sehemu ya kuishinikiza serikali kutimiza mahitaji yao.

VIDEO: NISHA BEBE MIMBA HII NGEKUWA YA BARAKA DA PRINCE

Nyota wa filamu nchini ambaye siku za karibuni amekuwa akihaha na ujauzito alionaonao bila kumuweka wazi muhusika, amekanusha kuwa ujauzito huo ni wa msanii Baraka The Prince.

Nisha Baby amefunguka kuhusiana na hilo akiwa katika kipindi cha FNL cha EATV, na kusema kuwa endapo ujauzito huo ungekuwa wa Baraka kama inavyosemwa na wengi basi ungetoka wenyewe mapema sana kwa kuwa Baraka ni miongoni mwa wanaume asiowapenda kabisa duniani.

YOUNG DEE KAKANUSHA KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA

https://www.youtube.com/watch?v=vYYS8vmDBTYMsanii wa hip hop nchini Paka Rapa (Young Dee) amesema hatumii dawa zozote za kukuza misuli yake na mwili wake bali anafanya mazoezi kila siku na bado hajafikia katika kiwango ambacho anataka kufikia.

Hata hivyo akiongea kupitia eNewz, Young Dee amesema anazingatia chakula, muda  wa mazoezi na

MIJI KUMI MICHAFU ZAIDI DUNIANI

Kwa mujibu wa shirika la afya duniani WHO mwaka 2010 takribani watu 223,000 walfariki dunia kutokana na kansa ya mapafu.
Afrika mashariki ya kati na kaskazini mwa afrika ndo maeneo yanayoonekana kuwa machafu sana
kwa wastani wa 130 mcg/m3 ikifuatiwa na asia ya kusini yenye wastani wa 100 mcg/m3
hapa chini ni miongon mwa miji michafu sana kwa mujibu wa WHO


10. LAHORE, PAKISTAN

Most Polluted Cities Lahore nchini pakistan ndo mji uonaonekana kuwaumesheheni watu wengi ukiwa na wastani wa 200 mcg/m3na ukionekana ndo mji unaoongoza kwa uchafu duniani kulingana na tak

ALICHO KISEMA MOURINHO BAADA YAKUMCHEZESHA FELLAINI

jose mourinho & marouane fellaini
Jose Mourinho ametetea uamuzi wake wa kumuingiza uwanjani kiungo wa kati Marouane Fellaini kama nguvu mpya wakati wa mechi ambayo Manchester United walitoka sare na Everton Jumapili.
Fellaini alisababisha penalti muda mfupi baada yake kuingia dakika ya 85, na kuwawezesha Everton kusawazisha na mambo yakawa 1-1.

advertise here