Taarifa zilizoripotiwa na BBC leo December 5 2016 kuhusiana na nchi ya Kenya
ni kuwa madaktari na wauguzi wa nchi hiyo wameanza mgomo wa kitaifa
ikiwa kama sehemu ya kuishinikiza serikali kutimiza mahitaji yao.
Madaktari na wauguzi Kenya
wameanza mgomo huo wa kitaifa kwa kushirikiana ili kuishinikiza
serikali kuwalipa nyongeza zao za mishahara pamoja marupurupu yao
kutokana na makubaliano ya mkataba uliosainiwa June 2013.
ULIMISS KUONA VIEO INAYOONYESHA MIJI KUMI MICHAFU DUNIANI HII HAPA
No comments:
Post a Comment