Monday, 13 June 2016

EURO 2016: MARUFUKU YA POMBE VIWANJANI

SUBSCRIBE HAPA MTU WANGU
Bonyeza picha yoyote hapa kuona habari mbali mbali live stream videos

https://www.youtube.com/channel/UCohoLl9DK4oepzW_GdEL5sA?sub_confirmation=1
Waziri wa maswala ya ndani wa ufaransa , Bernard Cazeneuve, ametoa ushauri kwa wakuu wa miji mbalimbali wenyeji wa kinyanganyiro cha soka barani ulaya Euro2016, kupiga marufuku matumizi ya pombe katika maeneo tete siku ya na hata kabla ya siku ya mechi kufanyika.

NISHA KAMJIBU JACKLINE WOLPER WA HARMONIZE

SUBSCRIBE HAPA MTU WANGU
Staa wa sinema za vichekesho Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ ameibuka na kumjibu mwigizaji mwenzake, Jacqueline Wolper Massawe kuwa hajawahi kutaka ‘kiki’ za kijinga wala ugomvi na anachoangalia yeye ni biashara na maisha yanaenda.

Nisha aliliambia Wikienda kuwa ameshangazwa na habari zinazozagaa mitandaoni baada ya yeye kuweka picha za wasanii wanne kisha msanii mwenzake, Wolper kuanza kumrushia maneno wakati yeye aliandaa shoo ya Harmonize (mpenzi wa Wolper) wiki mbili zilizopita na yupo kibiashara zaidi

ZITTO KABWE AJITOKEZA ASEMA CCM WASIPO MDHIBITI RAIS MAGUFULI "SISI NA WANANCHI TUTAMDHIBITI"

SUBSCRIBE HAPA MTU WANGU
Bonyeza picha hii kuiona video ya hotuba fupi ya zitto usiache kusubscribe mtu wangu
https://www.youtube.com/channel/UCohoLl9DK4oepzW_GdEL5sA?sub_confirmation=1Baada ya taarifa za kutoweka, Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameibuka leo na kusema yuko salama wa afya huku akilaani mbinu za Jeshi la Polisi kutaka kumkamata kwa siri bila kufuata utaratibu unaotakiwa.

Tangu Jumamosi usiku, vyombo mbalimbali vya habari viliripoti Zitto kutofahamika alikokuwa baada ya simu zake zote kutopatikana huku viongozi wa chama hicho wakihofia kukamatwa na polisi baada ya kubaini njia za uviziaji wa kumkamata nyumbani
kwake.

advertise here