Like page yetu hapa FACEBOOK
j
Meya wa Lndon Sadiq Khan
Meya wa Lndon Sadiq Khan
Jiji la London limemchagua Meya wa
kwanza Muislamu, Sadiq Khan, aliyekuwa wakati mmoja Waziri katika chama
cha upinzani cha Laba.
Bwana Khan ni mwana wa dereva wa zamani wa bas jijini London aliyezaliwa Pakistan. Alipata kura milioni moja na mia tatu elfu.