Monday, 28 March 2016
WALIOKATA TIKETI ZA CHAD KUREJESHEWA PESA ZAO
LAYIII
Timu ya taifa ya Chad ‘Les Sao’ ilijiondoa katika michuano ya kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa Afrika (AFCON) itakayofanyika mwaka 2017 nchini Gabon kutokana na matatizo ya kifedha.
Mashabiki wa soka waliokuwa
wamenunua tiketi za mechi kati ya timu ya taifa ya Tanzania na Chad
ambayo imetibuka watarejeshewa fedha zao.
Rais wa Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) Jamal Malinzi amesema utaratibu unawekwa kuwarejeshea mashabiki pesa zao.Timu ya taifa ya Chad ‘Les Sao’ ilijiondoa katika michuano ya kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa Afrika (AFCON) itakayofanyika mwaka 2017 nchini Gabon kutokana na matatizo ya kifedha.
CHAD YAJIONDOA, TANZANIA MASHAKANI
LAYIII
Katika barua iliyotumwa kwa shirikisho la soka la Tanzania,mwenyekiti wa shirikisho la soka la Chad
Chad imejiondoa kutoka kwenye
kinyang'anyiro cha kufuzu kwa dimba la mataifa ya Afrika linalotarajiwa
kufanyika mwakani huko Gabon.
Shirikisho la soka la Chad limefikia kauli hiyo kutokana na ukosefu wa fedha.Katika barua iliyotumwa kwa shirikisho la soka la Tanzania,mwenyekiti wa shirikisho la soka la Chad
RAC ANASWA KAZIMIKA
LAYIII
Ray C akiwa hoi na kinachodaiwa kuwa ni utumiaji wa madawa ya kulevya.
Ray C akiwa hoi na kinachodaiwa kuwa ni utumiaji wa madawa ya kulevya.
Stori: Musa Mateja, Wikienda
DAR ES SALAAM: LICHA ya kutumia nguvu nyingi kukanusha habari zinazochapishwa na Magazeti Pendwa ya Global Publishers kuwa, amerejea kwenye matumizi ya madawa ya kulevya ‘unga’, hatimaye staa wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ amenaswa ‘laivu’ akiwa ‘ameangusha gari’ kando ya barabara, habari ndiyo hiyo!

Ray C ambaye kila anapoandikwa na
Magazeti ya Global kuhusu kurejea kwenye unga, amekuwa
Subscribe to:
Posts (Atom)