SUBSCRIBE YOUTUBE HAPA
Jana
ilikuwa siku kubwa kwa label ya WCB inayomilika na Diamond Platnumz.
Kwa mara ya kwanza ilifanikiwa kumsainisha msanii mkubwa anayesifika kwa
utunzi na uimbaji wa hali ya juu. Kwa kumsajili Rich Mavoko, WCB
ilikuwa kama vile timu ya soka inapomsajili mchezaji maarufu na tena kwa
dau kubwa.
Mavoko
ameungana na Diamond mwenyewe pamoja na wasanii waliosainishwa awali,
Harmonize na Raymond. Pia katika utambulisho wa label hiyo ulioendana
sambamba na kumtangaza Mavoko kama msanii wake mpya, Queen Darleen, dada
yake Diamond naye
LIKE PAGE YETU HAPA
Leo
naomba nikukumbushe somo la Afya ya uzazi. Somo hili litafafanua faida
na hasara au madhara yatokanayo na uvaaji wa nguo za ndani hasa Chupi.
Uvaaji wa chupi kihistoria ulianza karne ya 19 baada ya uvumbuzi wa
viwanda na mapinduzi yake yaliyoambatana na mapinduzi ya teknolojia.
Enzi
za mama zetu na babu zetu uvaaji wa chupi haukuwepo hapa Tanzania.
Uvaaji wa chupi uliletwa na wamisionari na wakoloni wakati wanaleta dini
Africa. Kabla ya hapo waafrica hatukuwa na utamaduni wa KUVAA chupi.
Mtoto
akizaliwa hakuvalishwa chupi kamwe kama ilivyo Leo. Mwanamke pia enzi
hizo alikuwa havai chupi. Mwanaume naye pia alikuwa havai chupi? Watu
wote walikuwa hawavai chupi. Mwanamke alikuwa hachuchumai chini pindi
akijisaidia kutokana na kwamba hawakuwa wanavaa chupi hivyo wakitaka
kujisaidia haja ndogo walikuwa
LIKE PAGE YETU HAPA
Mkali
wa wimbo ‘Bado’ kutoka WCB, Harmonize amesema hana tabia ya kuchezea
wanawake hivyo kama wakikubaliana na mpenzi wake wa sasa Jacqueline
Wolper watafunga ndoa.
Wolper
Muimbaji
huyo ambaye ametoka katika familia ya dini ya kiislamu, ameiambia
Bongo5 kuwa dini yake hamruhusu kuwachezea watoto wa kike.
“Kwa
sasa kuweka wazi kama tunakaa pamoja au hatukia siyo kitu kizuri cha
kuzungumzia kwa sasa,” alisema Harmonize. “Insha’Allah panapo majaliwa
tutakaa pamoja kwa sababu