Saturday, 8 August 2015

KATIKA UFUNGUZI WA LIGI KUU YA UINGEREZA HIZI NDO PICHA KALI MTU WANGU

LAYIII
Baada ya muda mrefu wa mapumziko kwa Ligi mbalimbali Duniani, sasa tunarudi tena kwa mwanzo wa msimu mpya wa Ligi Kuu Uingereza ambao umeanza August 8 kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja mbalimbali Uingereza, sas mtu wangu wa nguvu nakusogezea picha 10 zinazotajwa kuwa kali katika ufunguzi wa Ligi Kuu Uingereza.
Hizi ndizo picha 10 bora za mwanzo wa msimu kwa mujibu wa mtandao wa talksport.com
albrighton
Albrighton ni mchezaji wa zamani wa Aston Villa ameshinda goli moja na kutengeneza nafasi zilizoifanya Leicester City kuibuka na ushindi wa goli 4-2 dhidi ya Sunderland

Full time ya Chelsea vs Swansea City na matokeo mengine ya EPL nimeweka hapa

layiii
Baada ya Manchester United na Tottenham Hotspur kufungua dimba la mechi za ligi kuu ya Barclays Premier League – Mabingwa watetezi wa kombe hilo Chelsea nao jioni hii walianza utetezi wa kombe hilo kwa kucheza dhidi ya Swansea.
 
Mchezo uliopigwa katika dimba la Stamford Bridge umemalizika kwa sare ya 2-2.

advertise here