LAYIII
Baada ya muda mrefu wa mapumziko kwa
Ligi mbalimbali Duniani, sasa tunarudi tena kwa mwanzo wa msimu mpya wa
Ligi Kuu Uingereza ambao umeanza August 8 kwa michezo kadhaa kupigwa
katika viwanja mbalimbali Uingereza, sas mtu wangu wa nguvu nakusogezea
picha 10 zinazotajwa kuwa kali katika ufunguzi wa Ligi Kuu Uingereza.
Hizi ndizo picha 10 bora za mwanzo wa msimu kwa mujibu wa mtandao wa talksport.com
Albrighton
ni mchezaji wa zamani wa Aston Villa ameshinda goli moja na kutengeneza
nafasi zilizoifanya Leicester City kuibuka na ushindi wa goli 4-2 dhidi
ya Sunderland
Kyle Walker alicheza vizuri kabla ya kujifunga goli moja lililoipa ushindi Manchester United wa goli 1-0
Kikosi cha Bournemouth ambacho kiliingia kucheza mchezo wake wa kwanza toka ipande Ligi Kuu msimu huu
Kocha wa Sunderland Dick Advocaat akiwa hamini kilichotokea baada ya kufungwa na Leicester City goli 4-2
No comments:
Post a Comment