Monday, 20 July 2015

KATIKA TUZO ZA AFRIMAMA TANZANIA YAWAKILISHWA NA WASANII SABA WACHEKI HAPO CHINI

LAYIII
NOMINEES
Najua itakuwa furaha kubwa kwa kila mtu wa nguvu ambae anatoa love na suppoort ya kutosha kwa wasanii wa TZ, inapendeza kuona majina ya mastaa wetu wanaofanya muziki wanazidi kufahamika nje ya mipaka yetu.
MTV MAMA 2015 imeshafanyika Durban South Africa ambapo TZ ilikuwa ikiwakilishwa na mastaa wawili tu, Diamond Platnumz na Vanessa Mdee… lakini kabla mambo hayajapoa nakutana

MWANAMKE AGEUKA NYOKA MTU JAMANIII NDO NYAKATI ZENYEWE HIZI ZA MWISHO

LAYIII

NI KULE INDONESIA TENA

DONALDO ASAMBAZA MIDOLA KWA KOCHA WAKE

LAYIII


DUNIA NA MAAJABU YAKE EMBU MWONE HUYU MTOTO INATIA HURUMA SANA

LAYIII


Ni mtoto aliye zaliwa miaka kumi na mbili iliyo pita inatia huruma sana embu weka comment yako hapo chini walau hata maombi yako ndugu yangu
KUIONA VIDEO HIYO NI FATA LINK HII tbcueltd.blogspot.com

goal keepr afukuzwa huko manchester

layiii
Kocha wa Manchester United Louis Van Gaal amezoeleka kuwa aina ya kocha ambaye hapendi masikhara toka kwa wachezaji wake na amekuwa si mzito kufanya maamuzi ya kumuondoa mtu kwenye timu pale ambapo anaona anakwenda kinyume na matarajio yake .

louis-van-gaal-manchester-united_1sjazi885y191peieecz900kg

Kocha wa Manchester United Louis Van Gaal amezoeleka kuwa aina ya kocha ambaye hapendi masikhara toka kwa wachezaji wake na amekuwa si mzito kufanya maamuzi ya kumuondoa mtu kwenye timu pale ambapo anaona anakwenda kinyume na matarajio yake .

Real Madrid yagonga ukuta kwa De Gea.

David de Gea Manchester United

Usajili wa kipa Mhispania David De Gea kuelekea klabu ya Real Madrid kwa sasa inaonekana kama huenda usitokee tena hivi karibuni baada ya klabu hii ya Hispania na wenzao wa Manchester United kushindwa kufikia makubaliano .
Manchester United imegoma kabisa kufanya mazungumzo na Real kuhusiana na De Gea kutokana na Wahispania hao kushindwa kutimiza masharti ambayo United imeyaweka katika mazungumzo hayo .
United imewaambia Real kuwa endapo wanamtaka De Gea basi wakubali kumruhusu beki Mkongwe Sergio Ramos ajiunge na United au Gareth Bale jambo ambalo vijana hawa wa Florentino Perez amelikataa katakata.

MAREKANI YATOA SALUTE KWA DIAMOND NI BAADA YA NEYO KUFIKISHA SALAM ZA USHINDI WA DIAMOND

LAYIII
KIWANGO ndivyo tunavyoweza kusema kufuatia staa mkubwa duniani kutoka marekani kumvulia kofia staa wa tanzania DIAMOND PLATNUMZ.
NASEMA TENA
KIWANGO! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia staa mkubwa duniani, Shaffer Chimere Smith ‘Ne-yo’ kuukubali uwezo wa kimuziki alionao kijana kutoka Tandale, Dar es Salaam, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Ijumaa Wikienda linakupa mchapo kamili....

advertise here