Wasanii wa Kundi la Navy Kenzo ameshindwa kuachia kwa wakati kolabo yao
na AliKiba kutokana na mkali huyo wa wimbo ‘Aje’ kuwa busy hali ambayo
imewafanya washindwe kumpata kwa ajili ya kushoot video.
Wakizungumza katika kipindi cha The Playlist cha Times FM Jumamosi hii, wasanii hao wamesema zaidi ya mara mbili walipanga kushoot video hiyo lakini wameshindwa kumpata msanii huyo.