Mambo yalivyoharibika Rubani ilibidi aishushe ndege katikati ya barabara na magari yanapita.. Ona pichaz na video
Japo kumekuwa na stori nyingi zinazohusu
ajali za ndege, bado sifa ya kuwa usafiri salama namba moja duniani
haijaharibika, nimezipata hizi pichaz na video zinazoonesha Rubani
ambaye alijiongea na kuona bora aishushe
LAYIII
Mwanamuziki Dayna Nyange ametoa mtazamo wake wa namna gani wasanii wa nyumbani watawezakuvuka mipaka ya nje ya nchi.
Alipokuwa anafanyiwa mahojiano na mwandishi wa timesfm.co.tz Dayna
alifunguka kwamba ili wasanii waweze kutoboa ni lazima wawe na Wadau wa
nje (connection) kwani wengi wanafanya kazi nzuri lakini kutokuwa na
wadau ndio kikwazo.
“Msanii kama Vanessa Mdee leo hii anaanza kuvuka boda ni kwa sababu
ya connection ya watu wa nje alionao, kama aliweza kufanya kazi na watu
wa MTV sasa kwa nini asifike mbali ukizingatia anafanya kitu kizuri”,
alifafanua Dayna.
Dayna alieleza pia kuhusu ujio wa video ya wimbo wake wa Nitulize
aliomshirikisha Nay wa Mitego kwamba wataanza kuirekodi siku chache
zijazo kwani kuna vitu muhimu wanasubiri kutoka nje ya nchi.
Video hiyo inatarajiwa kurekodiwa hapahapa nyumbani Tanzania, huku
akisita kuweka wazi ni kampuni gani ambayo itatengeneza video hiyo na
kusema watu wasubiri Surprise.
Dayna mwanamuziki huyu mwenye asili ya huko mkoani Morogoro mwisho
alitoa taarifa kwa mashabiki wake wa Tanga wakae sawa kwani anatarajia
kuanza show zake mkoani humo kuanzia sikukuu ya Eid
LAYIII
Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale-Mwiru amesema CCM
inamuhitaji Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kwenye mchakato wa
Uchaguzi Mkuu na kukitaka chama hicho kujadili jambo hilo ili kuondoa
tofauti zilizojitokeza kabla ya kupiga kura za kumchagua Rais na
wabunge.
#newsflash CCM inamhitaji Lowassa ili Ishinde uchaguzi- Kingunge
Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale-Mwiru amesema CCM
inamuhitaji Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kwenye mchakato wa
Uchaguzi Mkuu na kukitaka chama hicho kujadili jambo hilo ili kuondoa
tofauti zilizojitokeza kabla ya kupiga kura za kumchagua Rais na
LAYIII
Tuzo za African Entertainment Awards (AEA)
ni Tuzo zinazotolewa kila mwaka kwa nia ya kutambua watu wanaotoa
mchango mkubwa katika uliwengu wa burudani. Tuzo hizi zinalenga hasa
kuonyesha ukubwa na fursa zilizopo kwenye ulimwengu wa burudani Africa.

Star wa muziki wa Bongo Flava Nasseb Abdul “Diamond Plutnums”, ametajwa kuwania tuzo za African Entertainment awards 2015.
Jean Baptiste Mugiraneza ni kiungo wa kimataifa wa Rwanda aliyesajiliwa na klabu ya Azam FC msimu huu akitokea klabu ya APR ya Rwanda kwa mkataba wa miaka miwili. Awali taarifa zilitoka kuwa kiungo huyo atarejea Rwanda kujumuika na kuitumikia timu yake ya APR katika mashindano ya kombe la Kagame yatakayoanza july 18 jumamosi hii.
Ila mambo yamekuwa tofauti baada ya klabu ya APR kumruhusu aichezee Azam FC katika mashindano ya kombe la Kagame. APR ambayo ipo kundi B n
Mkurugenzi wa Yamoto Band na Wanaume Family, Said Fella aka Mkubwa Fella
alionesha mapema kabisa leo July 15 amechukua fomu ya kugombea udiwani
wa katika mtaa wa Kilungule, Wilaya ya Temeke Dar es Salaam.