LAYIII
Tuzo za African Entertainment Awards (AEA)
ni Tuzo zinazotolewa kila mwaka kwa nia ya kutambua watu wanaotoa
mchango mkubwa katika uliwengu wa burudani. Tuzo hizi zinalenga hasa
kuonyesha ukubwa na fursa zilizopo kwenye ulimwengu wa burudani Africa.

Star wa muziki wa Bongo Flava Nasseb Abdul “Diamond Plutnums”, ametajwa kuwania tuzo za African Entertainment awards 2015.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Chibu ametujuza taarifa hiyo nzuri na muhimu kwa muziki wa Tanzania.
“Naomba niwashkuru wadau na Mashabiki zangu wote kwa support kubwa
mnayozidi kunipa… Niwashkuru wote mlokuwa Mkihamasisha na kupiga kura
katika tunzo za #Mtvmama2015 Hakika ni upendo Mkubwa..kijana wenu now
nimetua South Africa tayari kwajili ya Kujiandaa kwa show nk… ila pia
wakati nimetua nimekutana na Habari nyingine nzuri…kuwa Nimechaguliwa
kwenye Tunzo za Marekani ziitwazo @AfricanEntertainmentAwards Kama
Msanii Bora wa Kiume Africa na Nyimbo bora ya Africa #NtaMpataWapi Hii
ndio Account yao @AfricanEntertainmentAwards Ntawajuza namna ya Kupiga
kura Soon..” ameandika mkali huyo.
Plutnumz anawania vipengele vya mwanamuziki bora wa Africa pamoja na
Wimbo bora wa Africa (nitampata wapi) akichuana na Davido, Wizkid na
wengine kadhaa
No comments:
Post a Comment