Askofu mkuu wa Kanisa la Ufufuo na uzima ,Bwn Josephat Gwajima amesema kwamba, vita ndo kwanza imeanza. Ana nyaraka zote zinazoonesha uhalali wa Mkuu wa Mkoa wa Dsm kwamba jina lake halisi ni Daudi Bashite na kwamba kama anabisha hakuina cheti, ajitokeze kuthibitisha swala hilo.
" Nilichorusha ni kijipande tu, matokeo yake mnayaona. Ajiyokeze akanushe swala hilo kwa evidence