Jumamosi September 26 2015 Viwanja vya Leaders Club Dar es Salaamkutashuhudiwa
Burudani ya nguvu, list ya mastaa watakaoikamilisha Burudani yote
tayari imetajwa…
HAISHANGAZI kama ukilala maskini ukaamka
tajiri. Swali ni je, utaufanyia nini utajiri huo? Amini usiamini
inawezekana. Kumbuka, sijasema itakuwa rahisi, nilichokisema ni kwamba
inawezekana. Hapa nakuletea dondoo za namna ya kupata utajiri haraka kwa
lugha ya mtaani fastafasta.