LAYIII
Kiwanja ni Leaders Club, kwenye list ya mastaa watakaotoa Burudani wako Mapacha Watatu, Maua, Ruby, Damian Soul, Vanessa Mdee, Ben Pol, Weusi, Fid Q, Isha Mashauzi na Shettah.
Jumamosi September 26 2015 Viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam kutashuhudiwa
Burudani ya nguvu, list ya mastaa watakaoikamilisha Burudani yote
tayari imetajwa…
kinachosubiriwa kwa sasa ni saa zikamilike alafu watu
wa nguvu wakusanyike kuenjoy kwenye KiliFest !!Kiwanja ni Leaders Club, kwenye list ya mastaa watakaotoa Burudani wako Mapacha Watatu, Maua, Ruby, Damian Soul, Vanessa Mdee, Ben Pol, Weusi, Fid Q, Isha Mashauzi na Shettah.
Ripota wa millardayo.com amepita viwanja vya Leaders Club
na kukuta mambo yameiva.. maandalizi yamefikia hatua ya kuridhisha
mpaka sasahivi na unaweza kucheki kwenye Pichaz jinsi hali ilivyo.
No comments:
Post a Comment