Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake
ni kuanzisha mahusiano ya karibu. Kuna sanaa zingine za ushawishi kama vile ushawishi wa
kibiashara ambapo lengo ni kuuza bidhaa. Na kuna ushawishi wa kisiasa
ambapo lengo ni kupata kura.
Wakati sanaa karibia zingine zote za ushawishi ni
rahisi kujifunza, sanaa ya kutongoza watu wengi wanasema eti
haifundishwi ... eti kila mwanaume anajua kutongoza.