Saturday, 23 July 2016
JIFUNZE KILIMO BORA CHA VITUNGUU
Vitunguu vina chukua nafasi kubwa katika matumizi ya mboga hasa kwa wakazi wa mijini. Vitunguu hutumika katika kutengeneza kachumbari, kiungo cha mboga, nyama na
KOFFI OLOMIDE NUSURA AMUUE MWANAMKE KWA KIPIGO..AKAMATWA
Mwanamuziki mashuhuri kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Koffi Olomide amekamatwa na kuzuiliwa na maafisa wa polisi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta.
Olomide amekamatwa muda mfupi baada ya kumaliza mahojiano katika kituo kimoja cha runinga jijini Nairobi.
Mkuu wa polisi nchini Kenya Joseph Boinnet alikuwa ametoa taarifa na kuwaagiza polisi wachukue hatua.
CHIDI BENZ AFUNGUKA MAZITO ADAI JOH MAKINI NA NAY WA MITEGO NI WASANII WAKUTENGENEZWA
Rapper Chidi Benz amefunguka kwa kusema kuwa hakuna msanii wa Hip Hop
ambaye amefikia mafanikio yake huku akidai Joh Makini na Nay wa Mitego
wametengenezwa ili waje kulishika game la muziki.
Akiongea na Uhuru FM Alhamisi hii, Chidi Benz amedai mpaka sasa hakuna msanii ambaye ameweza kufanikiwa na kufikia mafanikio ambayo aliyafikia katika kipindi cha nyuma.
Akiongea na Uhuru FM Alhamisi hii, Chidi Benz amedai mpaka sasa hakuna msanii ambaye ameweza kufanikiwa na kufikia mafanikio ambayo aliyafikia katika kipindi cha nyuma.
UAMUZI WA BODI YA MIKOPO KUHUSU WANAFUNZI AMBAO HAWAJAREJESHA MIKOPO YAO HADI LEO
Aidha, taarifa hiyo pia iliwataka waajiri kuwasilisha taarifa za waajiriwa wao na makato ya marejesho. Baada ya kipindi hicho kumalizika, kipindi cha notisi hiyo kiliongezwa ambacho pia kimekwisha.
Subscribe to:
Posts (Atom)