Mto wa Beirut wageuka damu
Ni kitu cha kustaajabisha kimetokea baada ya mkondo wa maji kuingiliwa na vitu visivyojulikana.
Bado haijajulikana kwanini mto umekuwa na rangi nyekundu kama damu,mto huo bado ulikuwa ukitiririsha maji yenye rangi ya damu katika bahari ya Mediterranean hadi jumatano jioni
Mto Yangtze umekuwa mwekundu
Mto Maarufu kwa jina la "golden watercourse" nao umebadilika na kuwa na rangi nyekundu,bado haijajulikana nini sababu ya mto huo nao kuwa mwekundu
Ziwa lililopo Ufaransa limekuwa na rangi ya damu
Ziwa la Camargue lililopo kusini mwa Ufaransa limegeuka na kuwa na rangi nyekundu na kusababisha hofu kubwa miongoni mwa watu ULIKOSA KUIONA VIDEO YA MWANAMKE ALIYEKUWA AKICHEZA KIMAHABA OFISINI MWAKE CHEKI HAPA

No comments:
Post a Comment