Saturday 23 July 2016

VIDEO: JACKLINE WOLPER AHAMIA CCM KWA MBWEMBWE, KIKWETE AMPOKEA.


Mwigizaji wa filamu nchini Tanzania Jackline Wolper aliyekuwa akimuunga mkono Edward Lowassa katika uchaguzi Mkuu 2015, ametangaza kujiunga na CCM rasmi jana.Wolper alikaribishwa na mwenyekiti aliyemaliza muda wake Dkt Jakaya Kikwete baada ya
kutangaza kujiunga na CCM.Kitendo hicho kilifanyika katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM uliofanyika jana Julai 23, mkoani Dodoma.

No comments:

Post a Comment

advertise here